Tukutane hapa wale tuliowahi "Kuchapiwa", ni kitu gani kilikuuma zaidi na ulichukua maamuzi gani kwa mwenzako?

Ukishindwa kumuacha inakuwaje au unakubali muendelee kuwa wawili tu

Kwa sababu hao wakipata nafasi lazima waendelee kuuwasha moto japo mkeo ataonyesha wasiwasi lakini atatolewa hofu tu kwa kuwa wanajua walipokosea hawatokubali makosa yajirudie

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Tutumie hizo pic za wake za watu mkuuuu
 
Ndio hivyo mkuu usiwaamini hawa watu itakua mshua alipiga kimasiara
Siwezagi kuvumilia asee kuna dem wangu nilikuta chat tu jamaa anamtongoza mixer kujisifia angalia pesa nnayo sijui na upumbavu kadha wa kadhaa(Swaga za kishamba) na muelekeo wa dem ni kama anaenda kukubali jamaa kifupi kanizidi kipato mixer anasukuma mkoko na biashara freshi kabisa upande wangu mpaka boss acheke.

Nilichofanya nilimwambia dem, akanijibu me yule simpendi na sitokuwa nae kwanza anafamilia asee me sikutaka kuelewa nilipiga chini sikutaka maelezo mengi.

Sasa nawaza apo tu ipo ivyo je nikija gundua wamenigongea ndo itakuwaje!!
 
Ulimuacha mkeo au??
 
Mkuu kugongewa huwez kwepa sema haujui tu
 
M....h popote ulipo Ahsante kwa maumivu yale![emoji1316]
Baada ya girlfriend wangu wa kwanza kabisa kunizingua baada ya kuanza tu chuo dsm ....nkajikuta nmekamatika kwa mtoto wa ki hislam
Baby face,msafi +yale mavazi yao ya kujistill
Mtoto wa watu nkaingia mazima...
Kweli nlimpenda..
Ingawa alikua na matatizo kiasi ya Afya ila bado sikuacha kumpenda...
Wakati huo me nmemaliza corse tayari...yeye alikua mwaka wa mwisho kumaliza
Hivyo nlimuacha chuon hapo

Ikafika kipindi cha field wakati wanamalizia masomo...akapata dsm yeye na mama rafiki yake
Rafiki yake hakua na ndugu dar,hivyo aliomba kwenda kuishi na huyo girlfriend wangu kwa ndugu yao na girlfriend wangu

Siku kabla ya kuondoka tukakutana night nkaonana nae nkamuaga...Ingawa moyo ulikua unauma saaana!
Wakafika dar na wakaanza field kama ilivyopangwa


Kumbe kuna mjuba walikua wanachart Facebook kwa kipindi kirefu tu(hope ndio aliwaunganishia ile taasisi)
Kufupisha story ni kua bidada aliliwa aloo
Nlikuja kujua baada ya kudukua password zake za mtandao

Dear future wife
Usije ukaniambia mwanaume furani ni rafiki yako
Ntakuuuuwaaa
 
[emoji23]

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…