dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
We're Ni muongo muongo sanaWazee mimi BabaMorgan mwaka jana mwezi wa 12 nilifumaniwa na mke wa mtu kiukweli kila nikikumbuka lile tukio najisikia fedheha sana ila nasikia jamaa alirudiana na mke wake.
Mwezi wa 9 nilipata mchongo Morogoro kwa kufunga code naomba nisitaje Morogoro sehemu gani nilipokelewa na jamaa ambaye alitangulia huko akanipa hifadhi mpaka pale ambapo nitajipanga kuhamia ghetto kwangu. Most of times tukiwa tunaelekea kwenye mishe au kurudi kuna mwanamke tunakutana naye anamchangamkia yule jamaa ambaye alinipa hifadhi kwake yule mwanamke kwa muonekano ni mzuri na alikuwa akipenda kuvaa Madera na ukweli yalikuwa yakimpendeza pamoja na ushungi.
Ikafika time nikawa namuonea wivu mshikaji anavyochangamkiwa na yule mwanamke japo hatukuwahi kuongelea chochote kumhusu yule mwanamke hatimaye yule mwenyeji wangu akapata mchongo wa kurudi Dar es salaam ikabidi aniachie ghetto kwa makubaliano kuwa kodi ikiisha niendeleze kulipa na kuhusu vitu atakuja kuvichukua.
Nikawa nimebaki peke yangu sasa kuna siku natoka zangu saloon nakutana na yule mwanamke kwenye kichochoro nikamsalimia nakuomba namba akanikazia kuwa atanipa siku nyingine kumbe kuna jirani mitaa ile akawa ametuona tumesimama pamoja akaenda kumpa taarifa jirani wangu wa kike ambaye tumepakana chumba.
Yule jirani akaja kuniambia kuwa niwe makini yule ni mke wa mtu na katika nyumba tunayoishi kashatembea na baba mwenye nyumba na kuna mshikaji alikuwa anatembea naye ila wameachana na huyo jamaa sababu watu walimfuata na kumwambia si jambo zuri kutembea na mke wa mtu ambaye anaishi nyumba ya pili kutoka tunapoishi zile taarifa zilinikata na nikaumia kuona mwanamke mzuri ambaye ni mke wa mtu kuwa mama huruma nikawa nimegiveup naye.
Kuna jumapili moja nikasema nikashtue na pombe kali nikawa nimewaka wakati narudi nakutana na yule mwanamke nikasema leo nakomaa naye nikaomba namba nikapewa kwa vile ilikuwa night sikumcheki ili nisije kuleta sintofahamu kwa mume wake kesho yake nipo job nikamtext akareply nikatoa yaliyopo moyoni nikaona mwanamke kirahisi kaingia king kutokana na uzuri wake sikufikiria kuhusu mmewe wala wale wahuni aliopita nao.
Chatting zikawa za kutosha anytime natuma texts anajibu ananipigia simu night kali tunaongea tukaanza zile njoo basi nikuone natoka room na yeye anatoka kwake tunakutana nyuma ya nyumba yao tunapige french kiss za kutosha tomasana anarudi kwake narudi kulala ghetto.
Mara ya kwanza kumla ilikuwa nipo kazini akanitumia texts kuwa ana mchezo hana hela ya kupeleka anaomba nimsaidie nikamuuliza shilling ngapi akajibu 10000 nikamuuliza nakupatiaje akasema nitume kwenye simu nikajiongeza nikamwambia narudi home kuna kitu nimesahau uje kuchukua kwangu sababu time ile ghetto panakuwa hakuna watu akakubali akaja kwa mara ya kwanza maishani mwangu nikala mke wa mtu tena nyama kwa nyama na nikamwagia ndani.
Ukawa ndio mchezo nacheki mazingira yakiwa yametulia anaitwa mtu analiwa sina uhakika kama kuna watu walishtukia ule mchezo au vipi.
Siku ya fumanizi bibie kaja ilikuwa jioni ameingia tunaanza story ghafla nasikia sauti ya kiume inaita kwa ukali wewe Mama fulan toka nje nimekuona umeingia ndani humo kweli alimuona ameingia getini ila hakuwa na uhakika ni chumba gani amengia kwa hiyo alikuwa anasikilizia atatokea chumba kipi mzee moyo ulilia paaa nikasema leo nimepatikana ikabidi nifungue mlango nimsukume nje afu mimi nikarudi ndani na kufunga mlango.
Nilisikia vibao vinatembea na ghafla mtaa mzima ukawa umejaa pale.
Wakuu nimetumwa na boss nakuja kumalizia sasa hivi.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app