Tukutane hapa wale tuliowahi "Kuchapiwa", ni kitu gani kilikuuma zaidi na ulichukua maamuzi gani kwa mwenzako?

Tukutane hapa wale tuliowahi "Kuchapiwa", ni kitu gani kilikuuma zaidi na ulichukua maamuzi gani kwa mwenzako?

Wazee mimi BabaMorgan mwaka jana mwezi wa 12 nilifumaniwa na mke wa mtu kiukweli kila nikikumbuka lile tukio najisikia fedheha sana ila nasikia jamaa alirudiana na mke wake.

Mwezi wa 9 nilipata mchongo Morogoro kwa kufunga code naomba nisitaje Morogoro sehemu gani nilipokelewa na jamaa ambaye alitangulia huko akanipa hifadhi mpaka pale ambapo nitajipanga kuhamia ghetto kwangu. Most of times tukiwa tunaelekea kwenye mishe au kurudi kuna mwanamke tunakutana naye anamchangamkia yule jamaa ambaye alinipa hifadhi kwake yule mwanamke kwa muonekano ni mzuri na alikuwa akipenda kuvaa Madera na ukweli yalikuwa yakimpendeza pamoja na ushungi.

Ikafika time nikawa namuonea wivu mshikaji anavyochangamkiwa na yule mwanamke japo hatukuwahi kuongelea chochote kumhusu yule mwanamke hatimaye yule mwenyeji wangu akapata mchongo wa kurudi Dar es salaam ikabidi aniachie ghetto kwa makubaliano kuwa kodi ikiisha niendeleze kulipa na kuhusu vitu atakuja kuvichukua.

Nikawa nimebaki peke yangu sasa kuna siku natoka zangu saloon nakutana na yule mwanamke kwenye kichochoro nikamsalimia nakuomba namba akanikazia kuwa atanipa siku nyingine kumbe kuna jirani mitaa ile akawa ametuona tumesimama pamoja akaenda kumpa taarifa jirani wangu wa kike ambaye tumepakana chumba.

Yule jirani akaja kuniambia kuwa niwe makini yule ni mke wa mtu na katika nyumba tunayoishi kashatembea na baba mwenye nyumba na kuna mshikaji alikuwa anatembea naye ila wameachana na huyo jamaa sababu watu walimfuata na kumwambia si jambo zuri kutembea na mke wa mtu ambaye anaishi nyumba ya pili kutoka tunapoishi zile taarifa zilinikata na nikaumia kuona mwanamke mzuri ambaye ni mke wa mtu kuwa mama huruma nikawa nimegiveup naye.

Kuna jumapili moja nikasema nikashtue na pombe kali nikawa nimewaka wakati narudi nakutana na yule mwanamke nikasema leo nakomaa naye nikaomba namba nikapewa kwa vile ilikuwa night sikumcheki ili nisije kuleta sintofahamu kwa mume wake kesho yake nipo job nikamtext akareply nikatoa yaliyopo moyoni nikaona mwanamke kirahisi kaingia king kutokana na uzuri wake sikufikiria kuhusu mmewe wala wale wahuni aliopita nao.

Chatting zikawa za kutosha anytime natuma texts anajibu ananipigia simu night kali tunaongea tukaanza zile njoo basi nikuone natoka room na yeye anatoka kwake tunakutana nyuma ya nyumba yao tunapige french kiss za kutosha tomasana anarudi kwake narudi kulala ghetto.

Mara ya kwanza kumla ilikuwa nipo kazini akanitumia texts kuwa ana mchezo hana hela ya kupeleka anaomba nimsaidie nikamuuliza shilling ngapi akajibu 10000 nikamuuliza nakupatiaje akasema nitume kwenye simu nikajiongeza nikamwambia narudi home kuna kitu nimesahau uje kuchukua kwangu sababu time ile ghetto panakuwa hakuna watu akakubali akaja kwa mara ya kwanza maishani mwangu nikala mke wa mtu tena nyama kwa nyama na nikamwagia ndani.

Ukawa ndio mchezo nacheki mazingira yakiwa yametulia anaitwa mtu analiwa sina uhakika kama kuna watu walishtukia ule mchezo au vipi.

Siku ya fumanizi bibie kaja ilikuwa jioni ameingia tunaanza story ghafla nasikia sauti ya kiume inaita kwa ukali wewe Mama fulan toka nje nimekuona umeingia ndani humo kweli alimuona ameingia getini ila hakuwa na uhakika ni chumba gani amengia kwa hiyo alikuwa anasikilizia atatokea chumba kipi mzee moyo ulilia paaa nikasema leo nimepatikana ikabidi nifungue mlango nimsukume nje afu mimi nikarudi ndani na kufunga mlango.

Nilisikia vibao vinatembea na ghafla mtaa mzima ukawa umejaa pale.

Wakuu nimetumwa na boss nakuja kumalizia sasa hivi.
We're Ni muongo muongo sana

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kipindi nikiwa chuo ,nipo likizo home nikapata demu ,nikaleta home , nmetoka kufuata msosi na vinywaji kurudi nikakakuta mshua anaipiga ,dah niliumia kiasi ila nilijikaza na mimi nikaigegeda tu kibishi , kesho yake mzee ananiangalia tu kma dume la nyani.
These is jokes not serious [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka Hadi nimeamsha mtot

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ukishindwa kumuacha inakuwaje au unakubali muendelee kuwa wawili tu

Kwa sababu hao wakipata nafasi lazima waendelee kuuwasha moto japo mkeo ataonyesha wasiwasi lakini atatolewa hofu tu kwa kuwa wanajua walipokosea hawatokubali makosa yajirudie

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Watamuona wapi mkewangu
 
Tulielewana masharti magumu mno tulishakua na ukoo wetu huyu mke wangu ukoo wao ni kwetu na haijui simu inafananeje huu ni mwaka wa tatu

huko kwao tulisha futa kabisa haiwezekani umeenda msbani afu ufanye jambo baya namna ile yaani anajuta mpaka leo kutombw afu ananitumia meseji na jamaa na kunikebehi

Alishabadilika pakubwa sana hata kama anachapwa ni sio sana
Pole mkuu! Miaka 3 bila simu anawezaje kuishi mkuu au ni mama wa nyumbn?
 
Siwezagi kuvumilia asee kuna dem wangu nilikuta chat tu jamaa anamtongoza mixer kujisifia angalia pesa nnayo sijui na upumbavu kadha wa kadhaa(Swaga za kishamba) na muelekeo wa dem ni kama anaenda kukubali jamaa kifupi kanizidi kipato mixer anasukuma mkoko na biashara freshi kabisa upande wangu mpaka boss acheke.

Nilichofanya nilimwambia dem, akanijibu me yule simpendi na sitokuwa nae kwanza anafamilia asee me sikutaka kuelewa nilipiga chini sikutaka maelezo mengi.

Sasa nawaza apo tu ipo ivyo je nikija gundua wamenigongea ndo itakuwaje!!
Ni maumivu makali sana kwa kweli.
 
Mdada katongozwa na mume wa mtu kamkubalia kambikiri, kisha akaja kuomba ushauri kwangu, kuna mtu anampenda na fyoko fyoko zingine huku mapenzi yakiendelea mie najua kila kitu.

Nikamwambia kwa kifupi hautaolewa naye, unapoteza muda naye tu na ukiendelea naye utachagua kuzaa naye au kutoa mimba. Haikupita muda mimba ikatolewa kweli, maana jamaa hakuwa tayari kuzaa nje.

Mdada akawa ni wakunishangaa huyu anayajuaje haya ?! Akili zikaanza kumkaa sawa, ishu ikawa kujilengesha kwangu kujitongezesha, akitarajia 100% aishi na mie. Nioe mimi nakupenda wewe, NO kule ndipo upendo wako upo pita na 120. Hahah mtu anadai mpka mimba. Nikawaza ile mimba ingekuwa yangu ndio bye bye hiyo mdada kapata kadi ya ndoa ya buuuuuure, asingeitoa kamwe.

Njaa haiui kirahisi kama kukosa Maarifa. Yule akili ka kuku… Bahati yangu tu sikuwekeza hisia kwake huenda ningemfanya kitu kibaya sana.

Endelea na maisha yako huko ulipo we mdada, na endelea kujitangazia upo na mie shuwain we.
 
Mwanamke aki-cheat the only solution ni kumuacha.

Usipomuacha:
• Atajua hata akichepuka tena hauwezi kumfanya chochote
• Atajua anakumudu
• Zaidi, atakuona boya

Dawa ya mwanamke anayekusaliti ni kuachana naye.

By the way; mpaka mwanamke anakusaliti siyo kitendo cha bahati mbaya.

Wanawake hawa-cheat kwa bahati mbaya kama wanaume.

Akikusaliti ujue ameshafanya risk assessment akawa tayari kwa lolote.

Kamwe usimsamehe mwanamke anaye-cheat.
Well, and best comment ever
 
Joka jeusi ana akili mingi japo nilishamzingua kuhusu ule uzi wake nlikua sipo sahihi.
ulikosea saana mzee ...sasa nadhani unamuelewa jamaa aliongea ukweli mchungu ambao wanaume wengi hatutaki kuuskia sababu tayari tushaoa wanawake ambao sio wake zetu (wasio na bikra) ila ukikaaa peke ako tafakari utapata ukweli
 
Kipindi nikiwa chuo ,nipo likizo home nikapata demu ,nikaleta home , nmetoka kufuata msosi na vinywaji kurudi nikakakuta mshua anaipiga ,dah niliumia kiasi ila nilijikaza na mimi nikaigegeda tu kibishi , kesho yake mzee ananiangalia tu kma dume la nyani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]oyaa mzee hii sio mota kweli??
 
Bàdo ninamaumivu rafiki yangu best tuna miaka 13 ya urafiki,. Katembea na mume wangu mmenitonesha kidonda
Maumivu ya nini tena we bidada?
Mpange huyo shosti yako siku moja mpige 3somes, nakuhakikishia utajilaumu sana kwa nini umechelewa kumshirikisha huyo best yako kufaidi utamu.
Kizuri kula na shosti yako.
 
Back
Top Bottom