Tukutane hapa wale tuliowahi "Kuchapiwa", ni kitu gani kilikuuma zaidi na ulichukua maamuzi gani kwa mwenzako?

Hajajua kuwa kutembea na mke wa mtu ni risk sana, watu wanamachungu na wake zao utatembea na mke wa mtu mwenye mke hata hataki kukufumania,

Ila tu Cha moto utakiona kama sio kurogwa Kuna kitekwa na kuuwawa!

Binamu yangu alifanywa kitu kibaya sana akiwa anafanya kazi tabora,
 
Shida sio kuchapiwa... Shida kuileta iyo UTI na kwetu...... Afu manzi uliyemzoea.. ndomu daily siio
 

Inawezekana wewe ndo ulikuwa unamuibia jamaa
 
alifanyiwa nini
 
Alifanywa kitu gani?
 
Kuna jamaa alinichapia mwanamke wangu ambae nilikua nampenda sana mbaya zaidi alimfanya kitu ambayo mpaka akawa ameharibu mfumo wa uzazi wa binti... Sasa siku nikitia mguu mkoa anaokaa jamaa hakuna rangi ataacha kuitambua machoni mwake kutoka kwangu... He must regret that worse fuqn karma...
 
Hilo linaitwa gubu
 
Dah mkuu ulibaka wewe.....
 
Njiwa tuu ndio anamke wake mwenyewe
 
Mwamba alikuwa anawala sana wake za watu ilifika hatua Mpaka kuwazibua mamvi. Sasa Kuna mwanamke mmoja alidata naye sana, mwenye mke alikuwa msataarabu sana alimpa onyo moja lakn ndg yangu akawa mbabe

Mwenye mke alifanya juu chini kumpiga jungu kazini kwake na lile jungu lilitiki ndg yangu akapigwa uhamisho kutoka tabora kwenye Kagera lakn jamaa Bado naye akapangua uhamisho akabaki palepale Tabora

Mwenye mke akaamua kumtengeneza mke wake Kwa wataalamu siku ya siku ndg yangu ameenda kumla ila anakojoa bao tu ndio ikawa mwisho.
Aliueleza kuwa nilivyokojoa tu nmesikia mlio kwenye kiuno kaaa! Kama nmeteguka tangu hapo hakuweza kusimama Tena mwili wake ukawa unavuja jasho tu. Zunguka Kwa waganga wapi Mpaka mwaka Jana alipofariki.
 
Huyo jamaa nae khaa
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mrejesho vp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…