Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 3,876
- 7,118
Hatari mkuu[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]wazee wanafunguka tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari mkuu[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]wazee wanafunguka tu
Hajajua kuwa kutembea na mke wa mtu ni risk sana, watu wanamachungu na wake zao utatembea na mke wa mtu mwenye mke hata hataki kukufumania,Sorry to say this, Be mature enough to cover your emotional pain. Nimefatilia kisa chako sawa mkeo amekukosea sana lakini the way ulivyo react to that mpaka umeanza kuwapanga wake za watu it is not fair na ni dhambi sana kibaya zaidi unajisifia kuwa na picha unawapiga, let me tell you now unaweza kujiona mjanja au una heal jeraha lako kwa maumivu uliyoyapata lakini umechagua solution mbaya sana na one day inaweza kukokosti almost everything hamna faida ya kuhangaika na wake za watu na hamna hasara ya kutoaingaika na wake za watu (NB Ndoa iheshimiwe na watu wote hawakukosea kusema hivi fikiria kiundani)
What to do bro?
Kubali kuwa mkeo amekukosea, kubali kuwa yawezekana ni mapungufu ya kibinadamu( simtetei ) na kama uliamua kumsamehe jifunze kuwa jasiri wa kusahau kilichotokea, anza kujenga kilichopotea kikubwa ni kuwa emotional pain zinapona kabisa na zinasahaulika kama ukichagua measure sahihi.
Amini nakwambia msingi mmoja wapo wa Dunia yetu ni ujasiri na kuwa na moyo mgumu kama binadamu kwa kila hatua tunazopitia, maisha huwa yana tabia ya tutest watu, so ukiyumba yanakuyumbisha.
N.B Achana na wake za watu, utakuja ingia sehemu sio afu usione mlango wa kutokea, jipende na penda na familia yako thats all.
Samahani lakini its just the way i see things in different direction.
Toa adress sasaMie iliniuma maana hamna mwanamke nimewahi enjoy mgegeduani kama yule...yule mwanamke fundi bwana.
Dah anayekula huko sasa kwa kweli anafaidi sana.
Shida sio kuchapiwa... Shida kuileta iyo UTI na kwetu...... Afu manzi uliyemzoea.. ndomu daily siioMtu mzima na akili zake. Mbususu ni yake. Akiamua kwenda kuchapwa huko mimi ni nani mpaka niumie? Acha achapwe huko apate na mayutiai pengine akili zitamkaa sawa ila kuumia sitaumia ng'o!
Na ni nadra sana kuwa na mwanamke wa peke yako hapa duniani. Kuchapiwa utachapiwa tu hata ufanyeje!
#KuchapiwaHakuepukiki
#KitandaHakizaiHaramu
#Kuchapiwanisiriyandani
Asante kwa JF humu tunaongea bila kujuana hata katika vitu ambavyo huwa hatupendi kuviweka wazi kama kuchapiwa maana ni aibu, humu hatujuani inakuwa rahisi kuweka mambo wazi...
Kisa changu
Nilimuaga ex girlfriend wangu kwamba nimepata safari ya kikazi nitakuawa nje ya mji kwa muda flani kuna tajiri anataka nimwekee makabati nyumba anayofanyia finishing anayokaribia kuhamia.
Nilifika huko lakini nilikuta kuna wenzangu wengine kwa hiyo kazi iliisha mapema , niliwahi kurudi nikiwa nimeshalipwa na tajiri kama laki 3 hivi, nilifika kwangu kuweka begi na kisha nikaanza safari ya kwenda kwa ex wangu, nilifika kwake nilimkuta hayupo, nikaanza safari ya kurudi nikaona wacha nipate chakula lodge flani ya karibu.
Wakati nakula wali kuku kwa jeuri ya pesa nilizopata huko kibaruani nikaona kuna gari Rav 4 imekuja pale lodge ikapaki sehemu ambayo naweza kuiona.
Kuna jamaa alishuka akaingia ndani kwenye lodge nadhani alienda kuulizia chumba na kufanya malipo, muda huo nipo kwenye angle ya ku-observe mengi, nikaona jamaa katoka nje karibu na mlango wa kuingia lodge katoa simu mfukoni anaitumia, itakuwa alikuwa anatuma meseji, baada ya sekunde chache kuna binti akashuka kwenye Rav 4 kisha akaanza kumfata jamaa alipo, LA HAULA! Sikuamini macho yangu, aliyeshuka alikuwa ni dem wangu jamani.
Nilipatwa na mshangao kumuona dem wangu japo yeye hakuweza kuniona, kiukweli alikuwa amependeza hiyo siku alienda salon, nikawa siamini amini nachokiona, yaani dem wangu kaingia lodge na hiyo njemba, aaaaahhh!! Maumivu makali mno!
Hata msosi ukageuka mchungu, nililipa na kuondoka hapo hapo, siwezi kuanzisha varanga kwa demu ambaye kwa maamuzi yake kakubali kuliwa.
Nilifika gheto nampigia lakini simu inaita tu, hapa nikawa navuta picha game imeiva, huo moto anaopelekewa huko si wa kitoto, niliumia sana kwakweli.
Nilienda pharmacy ya karibu kununua sleeping pills (vidonge vya usingizi) maana mawazo yalinisonga sana, nilirudi gheto nikagonga vidonge viwili nikajilaza kitandani huku naendelea kuwaza lakini usingizi ukanichukua.
Kesho yake naamka kama kawaida ila daah!! Nikikumbuka kilichotokea jana yaani maumivu tu, nikacheki simu nikaona ex alinipigia kama mara tatu hivi na kuacha meseji kwamba alikuwa kanipigia sipokei, ila muda alionipigia hapo nilicheki ilikuwa ni baada ya masaa mawili na nusu hivi.
Nilimwambia aje gheto, ile kafika akaanza kujifanya kamaindi sikupokea simu alizopiga akaanza ku-act kujifanya alikuwa kapatwa wasiwasi kudhani labda nilipatwa na tatizo, hapohapo akaanza kujifanya anajichekesha kufurahi nimewahi kurudi na kanimisi sana, mimi namchora tu.
Nikaanza kumpiga maswali pale moja kwa moja kwamba jana aliyeshuka nae kwenye Rav 4 ni nani, akaanza kama kujistukia hivi akawa anakazia kwamba alikuwa kwake labda nimemfananisha, nilimnasa kibao taaa!!! Cha nguvu ili ajue nipo serious, akaanza kulia, nilimkazia ajibu swali hayo machozi yake hata ajaze ndoo nahitaji majibu, akawa anaendelea ubishi kusingizia namuonea na kwamba sio yeye, nilimnasa tena vibao vingine viwili vya nguvu zaidi na vilisikika aisee...
Akaanza kukiri kweli ni yeye na kuniomba msamaha kwamba hatarudia, haikuwa nia yake, bla bla bla,,,,, nilifungua mlango nikamwambia its over!, hatuwezi kuendelea ....
Ilikuwa shughuli nyingine kuanza kumtoa, alipiga sana magoti kuniomba msamaha, namuinua asimame yeye anapiga magoti na kunukamata miguu, ilibidi nguvu ya ziada itumike sambamba na vibao vitatu vya zaida, alijifuta futa machozi, nikamtoa mpaka getini nikafunga geti nikarudi chumbani kwangu, uzuri siku hio nilikuwa mpangaji peke yangu niliebaki.
Nilikuwa na maumivu mengi moyoni lakini kwenda kazini na mazoezi kulisaidia kimtindo, sikutaka kujifungia ndani, maumivu yalikuwepo pindi muda wa kulala ukifika nikianza kuwaza nilivyochapiwa, daaah!! yaani nikaanza kuwaza jinsi ex alivyokuwa anapelekewa moto kuna siku nilitoa chozi kama mtoto mdogo.
Hali hiyo ilidumu kwa wiki hivi ila baada ya hapo niliweza kupata nguvu ya ku-move on mdogo mdogo.
Baada ya miezi miwili niliweza kujitosa upya kuanza mahusiano mapya, mahusiano mapya yalinisaidia kwa kiasi kikubwa kupooza maumivu na hatimae nikasahau kabisa.
KISASI:
Kwa sasa huyo jamaa alienichapia ndie aliemuoa ex wangu lakini cha ajabu mpaka leo ex wangu ni kama analazimisha mawasiliano, huwa hapitwi kunitumia meseji za Pasaka njema, Iddi njema, n.k. ila namjua kabisa anachotaka ni ukaribu tu.
Kuna siku nilikutana nae nikampanga twende kwangu alikubali kabisa na nilipanga nimtafune nilipize kisasi kwa huyo jamaa alienichapia na hata nipige picha au video nimtumie ili naye aumie lakini nafsi ilisita, niliahirisha na kumwambia ex lakini ajabu yeye alijaribu kunibembeleza twende akijua kabisa kinachoweza kutokea lakini nilisimamia msimamo wangu nikazuga tutapanga siku nyingine.
Ni kwamba huyu ex muda wowote nikimtaka anaweza kunipa mzigo lakini sioni ambacho nitafaidika nacho, nimekubali yaishe tu maisha yaendelee.
Address niko nayo basi....naishi mpigia nyeto tuu na mlenda viguvuguToa adress sasa
alifanyiwa niniHajajua kuwa kutembea na mke wa mtu ni risk sana, watu wanamachungu na wake zao utatembea na mke wa mtu mwenye mke hata hataki kukufumania,
Ila tu Cha moto utakiona kama sio kurogwa Kuna kitekwa na kuuwawa!
Binamu yangu alifanywa kitu kibaya sana akiwa anafanya kazi tabora,
Alifanywa kitu gani?Hajajua kuwa kutembea na mke wa mtu ni risk sana, watu wanamachungu na wake zao utatembea na mke wa mtu mwenye mke hata hataki kukufumania,
Ila tu Cha moto utakiona kama sio kurogwa Kuna kitekwa na kuuwawa!
Binamu yangu alifanywa kitu kibaya sana akiwa anafanya kazi tabora,
Hilo linaitwa gubuKuna jamaa tulikuwa tukiishi nae nyumba moja ya kupanga,aligundua mkewe ametafunwa kupitia mawasiliano ya kwenye simu,jamaa alimpiga mno yule mwanamke siku hiyo,wakayamaliza Ila ndani ya wiki nzima mwanamke alikiona cha moto, walikuwa wakipiga stori wanacheka wenyewe, ghafla jamaa akikumbuka lile tukio anachange anambutua yule mwanamke,walifurahisha kwa kweli
Hao mademu ndio hunuka visamakiDuuh uyo mwanamke chizi sio bure
Dah mkuu ulibaka wewe.....Mtoa mada umenikumbusha 2019 mwezi 6 mshikaji wangu toka nitoke alinichapia demu wangu sitokuja kusahau maumivu yake nikaja kumchana demu akanijibu ""dohhh kwaiyo unafanyaje[emoji23][emoji23][emoji23] nilioshiwa nguvu yani ata kujuta amna kanikazia sura nilimpiga kichwa mpaka akapasuka damu mwili mzima jamaa yangu nae baada ya kujua kuwa nimejua eti ndio anajifanya kuja kuomba msamaha nikajifanya nimemsamehe nikamfungia kazi dada yake wa tumbo moja nikamuimbisha mpaka akajaa siku anakuja gheto nikawashitua wana kama wa 2 ivi tukampiga mtungo mmoja heavy weight jamaa akapata taarfa sasa ikawa vita ya kuwindana na mapanga.
Kweli aiseee, I feel bad mtu akuzungumzia habari za mtungo.Ulimkosea sana huyo dada hakua na Kosa aisee
Njiwa tuu ndio anamke wake mwenyeweMtu mzima na akili zake. Mbususu ni yake. Akiamua kwenda kuchapwa huko mimi ni nani mpaka niumie? Acha achapwe huko apate na mayutiai pengine akili zitamkaa sawa ila kuumia sitaumia ng'o!
Na ni nadra sana kuwa na mwanamke wa peke yako hapa duniani. Kuchapiwa utachapiwa tu hata ufanyeje!
#KuchapiwaHakuepukiki
#KitandaHakizaiHaramu
#Kuchapiwanisiriyandani
Huyo jamaa nae khaaMwamba alikuwa anawala sana wake za watu ilifika hatua Mpaka kuwazibua mamvi. Sasa Kuna mwanamke mmoja alidata naye sana, mwenye mke alikuwa msataarabu sana alimpa onyo moja lakn ndg yangu akawa mbabe
Mwenye mke alifanya juu chini kumpiga jungu kazini kwake na lile jungu lilitiki ndg yangu akapigwa uhamisho kutoka tabora kwenye Kagera lakn jamaa Bado naye akapangua uhamisho akabaki palepale Tabora
Mwenye mke akaamua kumtengeneza mke wake Kwa wataalamu siku ya siku ndg yangu ameenda kumla ila anakojoa bao tu ndio ikawa mwisho.
Aliueleza kuwa nilivyokojoa tu nmesikia mlio kwenye kiuno kaaa! Kama nmeteguka tangu hapo hakuweza kusimama Tena mwili wake ukawa unavuja jasho tu. Zunguka Kwa waganga wapi Mpaka mwaka Jana alipofariki.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kuna jamaa alinichapia mwanamke wangu ambae nilikua nampenda sana mbaya zaidi alimfanya kitu ambayo mpaka akawa ameharibu mfumo wa uzazi wa binti... Sasa siku nikitia mguu mkoa anaokaa jamaa hakuna rangi ataacha kuitambua machoni mwake kutoka kwangu... He must regret that worse fuqn karma...
Mrejesho vpKuna jamaa alinichapia mwanamke wangu ambae nilikua nampenda sana mbaya zaidi alimfanya kitu ambayo mpaka akawa ameharibu mfumo wa uzazi wa binti... Sasa siku nikitia mguu mkoa anaokaa jamaa hakuna rangi ataacha kuitambua machoni mwake kutoka kwangu... He must regret that worse fuqn karma...
Safi Sana Baharia.ME YULE JAMAA ALINICHAPIAGA MKE WANGU NILIENDA TEMBEZA KITOMBO KWENYE FAMILIA YAKE KUANZIA MAMA MPAKA WADOGOZAKE NA DADA ZAKE