Tukutane hapa wale tuliowahi "Kuchapiwa", ni kitu gani kilikuuma zaidi na ulichukua maamuzi gani kwa mwenzako?

Moja kati ya mambo yanayoumiza ni hili

By the way Ahsante mungu nlijifunza

Dear future wife
Usije nka kuuliza yule mwanaume mbona kama siwaelewi afu et unijibu “ni rafiki yangu”


Oleee wakooo
 
Kuaribu mfumo wa uzazi kivipi mkuu. Mpaka akaharibu.
 
Mkuu ilikuwaje.
 
Ulizngua dada wa watu alikosa nn
 
Emotional control ni Jambo la muhimu sana maana ukigundua manzi ako analiwa unaweza kuua mtu for the pussy. Nimejiwekea kanuni moja kwamba kama mwanamke amenipea mimi mbususu basi anaweza mpea mwanaume mwingine atakaye mshawishi.

I'm ready kwa lolote kiasi kwamba hata nikigundua analiwa na njema nyingine mahusiano yanaishia hapo. Huu msimamo umezaliwa baada ya kupitia kikaango cha Moto cha mapenzi.

Cheat on her beforeshe cheat on you first,be a man🤗🤗😆.
 
Kikaango hiko kilikuaje mkuu?
 
Moja kati ya mambo yanayoumiza ni hili

By the way Ahsante mungu nlijifunza

Dear future wife
Usije nka kuuliza yule mwanaume mbona kama siwaelewi afu et unijibu “ni rafiki yangu”


Oleee wakooo
Hivi hairuhusiwi kua na rafiki ukishaolewa.?
 
Kuhusu maisha Huwa Kuna nguvu Gani maana Kwa nini MUNGU aliamua kukuonyesha yote hayo..... guest umkamateee...
 
Kabla hujaamua kuoa kabisa yani kumchukua mazima mtoto wa mtu ni muhimu kujiandaa kisaikolojia kuna milima na mabonde.. usiwe mtu wa kununa nuna, kukasilika, wala mwepesi wa kuacha utaacha wangapi utaoa na kuacha mpaka ifikie idadi ya mwisho yani wanawake wa4 na bado usipate mkamilifu mwisho utakuwa mzinzi na mdhinifu wa kutupa.. kuchapiwa ni siri ya ndani.. nasisitiza tena kuchapiwa ni siri ya ndani hata umpate mwanamke bikra au mwanaume asiewajua wanawake bado utaibiwa tu muhimu kukubali kila hali utakayoipitia usifikili kumuacha huyu ndio njia ya usalama wako. UTAKUWA UNAJIDANGANYA MY FRENDI.. kwa hali ya sasa ni ngumu kupata wa kwako labda ununue sex toys ndio zitakuwa za kwako pekee lkn sio viumbe hai.. [ maino mkali wa fasihi ] ninaendelea kukusisitiza wachana na mapenzi isiwe kipaumbele utakonda bule..
 
kama hukumkuta bikra .....don't mind
Kwamba akiwa bikra ndo hutofvckiwa na wahuni? Meeeen! Labda wale mabikra 72 wanao haidiwa magaidi wa kujitoa muhanga ila sio hawa wa hapa duniani tunakula, kunywa, na kula nao pamoja..
 
Aiseeh [emoji3525]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…