Tukutane hapa wale tuliowahi "Kuchapiwa", ni kitu gani kilikuuma zaidi na ulichukua maamuzi gani kwa mwenzako?

Nakumbuka enzi zangu nilikuwa nagegeda dada na mdogo wake......dada alikuwa ndiyo demu wangu na alikuwa anajua ukaribu wangu na mdogo wake ulikuwa ni ushemeji tu ila mdogo mtu alikuwa anajua kwamba nawabandua wote....sasa mdogo mtu alikuwa pisi kali sana kuliko dada mtu lakini alikuwa ana mme wake....nikawekeza sana kwa mdogo mtu...mme wake alikuwa ana wivu sana lakini mke mtu akawa amenogewa....tulikuwa tunapata tabu sana kugegedana manake jamaa alikuwa anamfuatilia sana mkewe muda wote..hivyo akipata upenyo kidogo anakuja gheto fasta namtafuna anarudi kwake chap...mme mtu baada ya kuona mkewe amemzidi maarifa naye akaanza kumla dada mtu ambaye ndiye alikuwa demu wangu....kwa kweli iliniuma sana kuchapiwa huku najua...mwisho wake haukuwa mzuri manake wote tuliwaacha...kweli ujana maji ya moto!!!
 
Hii noma Asee
 
Kama ndo aliemuoa jipe moyo may be hakuwa wako Yani hukupAngiwa kuwa nae na jinsi ulivyokuwa na wivu nae it's means ulimpenda wewe Cha kujipa moyo ni kuwa ulimkula before huyo jamaa mambo mengine achana nayo mtaan mibususu mingi piga kazi komaa na tozoo
 
Mm nilichapiwa nilipofaham nilimtafuta mkewake nikamchapa nikaandika barua ndefu yakusema kua nimemchapa mkeo nikamweleza alama alizozano mkwe nikamwambia nimemchapa marakadhaa nikamwambia vtu nilivomnunua harafu hiyo barua nikapaleka ofisin kwake
Alieanza kaanza
 
Umeandika kinyonge sana [emoji16]
 
Tusimulie na wewe jinsi kidume chako alivyoibiwa na mwanamke mwengine
πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈ! πŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈ
 
Yaani bwana hili tobonsijui lina nini?
Unagegegda demu mwengine lakini wee wako wakikugegedea lazima ikuume sijui kwa niniπŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Hivi na nyie inawauma ukijua demu wengine amefyonza asali ya bwana wako?
 
Hivi na nyie inawauma ukijua demu wengine amefyonza asali ya bwana wako?
Ohooooooo Sitaki manenooo mie mzabzab !!! πŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈ
 
Ohooooooo Sitaki manenooo mie mzabzab !!! πŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈ
Tunajuzana tuu hapa jamani...ila hivyo vimbususu vyenu vina siri kubwa sana
 
Wewe ni komandoo,upo very matured.....mi hata niwe na hasira vipi ila nimegundua usipokua na visasi,unaishi kwa furaha sana,........halafu kingine wanawake wanawahi kuchoka.
Kuna mabinti wanaweza kukusumbua,akitoa mimba mbili tu ama kuzaa tu,hata upewe bure huwezi kukubali.
Kama mwanaume,wekeza kwenye:-
1.Kutafuta ridhiki
2.Afya
3.Chakula Bora
4.Mazoezi
5.Utalii wa hapa na pale
6.Kusoma vitabu na kujifunza vitu vipya hasa vya sayansi na technolojia
Nakuhakikishia utakua na uwezo wa kua na mwanamke yeyote yule na hata akiondoka kwa jeuri,mukikutana tena unamsaidia tu kiroho safi na hata nyege nae huna [emoji16][emoji16]
 
Acheni upumbafubjmn

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…