Tukutane hapa wale tuliowahi "Kuchapiwa", ni kitu gani kilikuuma zaidi na ulichukua maamuzi gani kwa mwenzako?

Katka vtu mwanaume unatakiwa ubongo na moyo wako ujiandae n kuchapiwa hii itakusaidia huta kaa ujinyonge au kuua mtoto wa watu kisa mapenz kua na li roho ligum kwamba ikipgwa inaoshwa na ww kesho unapga maisha yanaendelea sasa ww jinyonge kisa viungo vya uzaz vya mwenzio
 
Jamaa yangu wa Chanika naomba unisamehe sana, nilitembea na mke wako ukagundua na kumsamehe, lakini bado tukaendelea hadi ulipokuja kugundua tena. Ila na mimi nina wasiwasi na fundi mmoja, nahisi nimeshapigwa!
Ikiwezekana na wewe tafuta mke wa fundi au binti yake mpelekee moto
 
Kuna ex wangu aliolewa ila siku moja kaja Dar nikaomba mbususu akakubali. Tuko kitandani ndo nikagundua anachati na mchepuko wake.... iliniuma sana kwanini anisaliti mimi mchepuko wake wa kudumu? Hata mapenzi sikufanya hiyo siku.
Hivi kwa nini ata mchepuko akigegedwa mwanaume inakuuma? Hii nilidhani ni mie tuuu 🤔🤔🤔
 
Sawa mara nying Iko hivo lkn ni maumivu Kwa asiehusika
 
Mbona unaonekana ni mbinafsi. Kwann uumie mwili wake kiunge chake kikipata raha wewe unaumia nini.
Mimi ningeitafuna kimya kimya bila hata kumuuliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…