Tukutane hapa wale tuliowahi "Kuchapiwa", ni kitu gani kilikuuma zaidi na ulichukua maamuzi gani kwa mwenzako?

Ulitangaza vita na jeshi la Polisi!?
 
Nilichapiwaga bhana😂

Tulikuwa na crew yetu ya mtu 3 na kuna jamaa akawa anajenga ukaribu na sisi tukamkubali ajiunge

Sasa nilikua na pisi yangu ina tako kubwa sana, jamaa kujiunga na crew akaanza kuivizia, wanangu wakanipanga kila kitu,

siku moja nimesafiri nikakaa karibia mwezi kurudi naambiwa jamaa anakula, kumuuliza mshikaji akasema “demu wako
Malaya yani mtu akitaka anajipigia tu”
Dah niliumia ila nikasema siwezi kumkataa mshikaji kisa demu

Nikamuuliza demu akakataa kumbana vizuri akasema mshikaji alinipondea mpaka yeye akakubali….. nikasema sawa

Nilichofanya siku moja nikamuita demu geto, nikamuita na mshikaji… dem aliwahi kufika nikamkaza vizuri tu lengo langu mshikaji nae aje amkaze mbele yangu tukate mzizi wa fitna ila jamaa alipofika alishindwa kumkaza

Ikabidi dem aangue kilio (sijui alilia nini) basi nikamtuliza nikamkaza tena jamaa alipoondoka

dem alishindwa chagua akataka vyote kwahiyo jamaa akawa anakula kwa time yake nami nakula kwa time yangu.

Ila kichwani nilikuwa namuwinda jamaa akipata demu nimlie, tatizo jamaa madem zake wote wabovuu yani alipata salama kwa dem wangu

Ila kuna kibinti alikuwa anakifukuzia hicho kidogo kina afadhali, hako kabinti kalikuwa kananielewa sana mpaka leo, nilichofanya nikakaita geto nikampanga mwanangu mwingine kila kitu ili amuite mshkaji aje ashuhudie ninachomfanya dem anaemkubali

Kweli jioni jamaa kaja mshkaji wangu wakakaa nje akawa anampigisha story kwa kumwambia kuwa “Count Capone ana demu ndani tumsikilizie kuna ishu alisema atatupa” basi wakawa wanansubiri

Huko ndani kale kadem nikakashughulisha hasa kelele na miguno yote jamaa nje anasikia

Ile kutoka dem akakutana na mshikaji uso kwa uso, jamaa kamuona live kuwa nimemla dem anaemfukuzia. Hapo nafsi yangu ikawa na amani sanaa kisasi kikatimia.
 
Kuchapiwa kusikie kwa wenzio, mimi kuna demu nilimkubali sana, black beauty mmoja na shepu yake. Ila anapenda sana kuvaa nguo ndefu za kujisitiri za vitenge ni kasema hapa ni mefika duu. Kumbe bwana kuna ex wake wanakaa mtaa mmoja, wanarudiana na kuachana. Kuna dogo aliniambia ila nilikuwa ni mebanwa na kazi sikuwa na muda wa kulifuatilia.

Kuna siku nipo zangu site naona meseji ndefu ya kibuti ni kajua basi tena ni kajikaza kiume kama miezi mitatu maumivu ya kapoa. Badaa ya miezi mitano anaomba turudiane,tena ile kwa kulazimisha mara "na kuja kwako kukufanyia fujo, mara na kurudishia zawadi zako ni kiziona na kukumbuka.

Kuna kipindi nikawaza may be ni mtumie tu then ni mwache ni kaona sio fresh sababu kaka zake ni marafiki zangu,sababu kipindi na date nae nahisi kaka zake hawa kufaham. Nikaona acha ni kaushe tu, yule demu mpaka leo hii anaomba turudiane ni nilikuwa ni kimblock anabadilisha namba sasa ni meamua ni mwache akipiga siku hizi sipokei naona kachoka,ila still bado siku hizi anatuma msgs najua atachoka tu.

Ila ni kaja kugundua hamna watu wanaojua kuandika msg za kuchoma kama wanawake,hasa wakikupiga kibuti.
 
Pole mkuu ama vipi butua [emoji2]
 
Sometimes mwanangu nimegundua si kila kitu unatakiwa ulipe kisasi, sasa kama huyu demu sasa anapata tabu sana kwani umri ushaenda ana 26+,kuna kipindi akawa ananiambia anizalie mtoto ni kamwambia mimi sina mda wa kuzaa na mtu mbaye sitokuja kumuoa.
Yule boy wake vp
 
Hahahaaaaa
 
pole sana wanawake wanakera askiuambie mtu yani anaweza kukujibu ukaona duniani huna thamani ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…