Tukutane hapa wale tuliowahi "Kuchapiwa", ni kitu gani kilikuuma zaidi na ulichukua maamuzi gani kwa mwenzako?

Tukutane hapa wale tuliowahi "Kuchapiwa", ni kitu gani kilikuuma zaidi na ulichukua maamuzi gani kwa mwenzako?

Kuna kipindi nilikuwa guest na R sasa ile nimeshapiga cha mapepe natulia nianze kazi
mtoto akanishika shika paja akasema nywele zimekuwa kubwa kama za.. Alafu akashtuka, nikamuuliza kama za nani akasema basi tu
Nikakomaa naye mpaka saa saba usiku ndo akafunguka yote

Ima kutoka mbeya sitakuja kukusamehe
Kwani we hujawahi kula demu wa mtu?we samehe tu mkubwa ,mademu ni wa kuchapa tu kwa zamu zamu.
 
Yaan mim Kama ndo huyo jamaa aliesamehe yaan mboo kuingiza ukeni kwake nahis italala kwanza haitasimama kabisa maana akilini itakumbuka humu. Sialitombwa na mwingne inalala hapo hapo

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Sasa mkuu,kuna watu wanachapiwa wake zao tena sio kuliwa mbele,wakulungwa wanamla jicho kabisa..pata picha mwana anajua inakuaje?
 
Mkuu nnavyopiga wanawake za watu mpaka najishangaa nilikuaga mtakatifu rakn walivyomto mkewangu nawabutua nawachukua na picha kabsa za kumbukumbu nikichukia naziweka mabago mitaani

nishachukia mimi kengine nimekachima juzi kana miezi miwili kametoka kufunga ndoa
Duh afu bado kuna kum@. Anasema nioe lol
 
Mtoa mada umenikumbusha 2019 mwezi 6 mshikaji wangu toka nitoke alinichapia demu wangu sitokuja kusahau maumivu yake nikaja kumchana demu akanijibu ""dohhh kwaiyo unafanyaje[emoji23][emoji23][emoji23] nilioshiwa nguvu yani ata kujuta amna kanikazia sura nilimpiga kichwa mpaka akapasuka damu mwili mzima jamaa yangu nae baada ya kujua kuwa nimejua eti ndio anajifanya kuja kuomba msamaha nikajifanya nimemsamehe nikamfungia kazi dada yake wa tumbo moja nikamuimbisha mpaka akajaa siku anakuja gheto nikawashitua wana kama wa 2 ivi tukampiga mtungo mmoja heavy weight jamaa akapata taarfa sasa ikawa vita ya kuwindana na mapanga.
Jf kuna uongo
Sana
 
Umemtolea nauli afu jamaa akaenda kuipiga...


Mpenzi wangu akuachana na x wake..

Jumapili moja outing ya nguvu,kala kanywa last minute kagoma ajisikii kwenda kulala home...no sweat nikampeleka kwake...

Siku ya siku nafuma sms mshikaji alikwenda kulala nae usiku nilipomrudisha..

Ananiulizaga nimepatwaga na nini,mpaka leo sijawahi mwambia,tumebaki washkaji tu
Jina lake linaanzia na F mweupe njiro?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu inauma sana. Ila cha muhimu ni kujua mademu zetu wanachapwa nje. Imagine mtu kama Will Smith na ule u-handsome plus maokoto bado anachapiwa je, sisi? Waliooa wana shughuli pevu. Kuna mtu na kakake hawatakaa wapatane maishani kwa sababu ya mdogo mtu kumchapa mke wa kaka. Yaani suluhu zote zimeshindikana toka miaka ya 90 hadi leo.
 
kuna muda wanaume tunapitia vipindi vigumu sana,laiti kama dunia ingeumbwa kwa mara ya pili binafsi ningemuomba Mungu wanaume tukifa twende peponi moja kwa moja adhabu tunazopata dunia zinatosha


Political is just liKe a war always,BOOST YOUR CONFIDENCE
 
Yaan kipindi niko chuo nlisoma mahusiano ya wanachuo wenzangu hasa marafiki nkagundua 98% wanaliwa balaa .nlichofanya nlikuwa nkipata 10 nashuka pale ambiance napiga kimoja na bia 3 naenda lala fofofo kila jumamosi
 
Back
Top Bottom