Tukutane hapa wapenzi wa Cartoons

Tukutane hapa wapenzi wa Cartoons

Hahah kweli we makamo... zilkuwa znaoneshwa channel gan Hzi?
C2C... Hahahahaaa😂😂😂...wakongwe wanaifahamu hiyo.... Miaka ya 1992'3 TV zinaanza kuingia... Dingi alikuwa Meneja Muajiri pale TASCO "TANZANIA SISAL COMPANY"...Chang'ombe... Akitokea shule ya kati Mukendo Musoma... Mama akiwa mhasibu pale Dar Group Hospital.... . Aseeee tumezeeka...japo Vijana wa makamo...
 
Rick and morty.. solar opposite... inside job...
Rick and Morty nna mpango wa kui'binge asaivi nkimalizana na gravity falls😂
images (35).jpeg
 
C2C... Hahahahaaa😂😂😂...wakongwe wanaifahamu hiyo.... Miaka ya 1992'3 TV zinaanza kuingia... Dingi alikuwa Meneja Muajiri pale TASCO "TANZANIA SISAL COMPANY"...Chang'ombe... Akitokea shule ya kati Mukendo Musoma... Mama akiwa mhasibu pale Dar Group Hospital.... . Aseeee tumezeeka...japo Vijana wa makamo...
Hahahaha dah kweli wengine watoto humu hata hiyo c2c siijui...au ndo ilikuwa Kabla ya tvt😂
 
Ya kwanza ben 10. Niliipenda sana. Nakumbuka nilikua nasali nipate ile saa yake🤣

Nilikariri wale aliens wote na homeworlds zao, mpaka leo nakumbuka

Sema wakaja kuireboot kitoto ikawa mbaya, zile series za mwanzo+ben 10 omniverse kali

nitazitafuta nizicheki upya
1705008757486.png
 
C2C... Hahahahaaa😂😂😂...wakongwe wanaifahamu hiyo.... Miaka ya 1992'3 TV zinaanza kuingia... Dingi alikuwa Meneja Muajiri pale TASCO "TANZANIA SISAL COMPANY"...Chang'ombe... Akitokea shule ya kati Mukendo Musoma... Mama akiwa mhasibu pale Dar Group Hospital.... . Aseeee tumezeeka...japo Vijana wa makamo...
kuipata C2C ilikuwa sio mchezo searching yake uipate bila chenga na antena iwe vizuri....

nakumbuka mimi nilikuwa mtaalamu wa kurekebisha antena kwa channel zenye chenga na nilikuwa mtaalamu wa kusearch channel mpya za zanzibar. hahahah
 
Halafu nyingine nyingine ni;

regular show
1705008895263.png


adventure time
1705008950246.png


the amazing world of gumball
1705009018326.png


batman: the brave and the bold
1705009093067.png


teenage mutant ninja turtles
1705009215809.png


Avatar zote
1705009386636.png


kungfu panda; legends of awesomeness
1705009453242.png


danny phantom
1705009530644.png


gravity falls
1705010110297.png


supa strikas
1705010138015.png


dragon ball z
1705010156910.png


Sema regular show, adventure time, gravity falls sidhani kama ni za watoto kivile
 
Guys! Nostalgia is a real disease.
Niliangalia katuni utotoni mpaka leo Bado zile theme songs, characters, story lines zinaexist nyuma ya ubongo wangu.

Tukutane hapa wazee wa CN, nickelodeon, Boomerang na Disney. Tukumbushiane baadhi ya cartoons tulizowahi kuzicheki

Kwangu Mimi hii hapa top 15 list ya Cartoons Kali nazokumbuka nilizoziona
15. Camp lazlo
View attachment 2866585There were to scouts who made a friend and Lazlo was his name-o, L-A-Z-L-O

14. The boondocks View attachment 2866581

13. Star wars the clone warsView attachment 2866578

12. Megas Xlr View attachment 2866574
11. Power puff girls View attachment 2866569
Sugar, Spice and Everything nice. These were the ingredients chosen to create the perfect little girls. But professor Utonium accidentally added an extra ingredient to the concoction, Chemical X

10. Courage the cowardly dog View attachment 2866566Mbwa jasiri, Courage, anaishi na wazee wake wawili, Eustace na Muriel. Wanakabiliwa na vitisho vya kutisha kwenye shamba lao la kando, na Courage anajitahidi kuvishinda kwa ujasiri wake wa kushangaza, licha ya hofu yake. Mchanganyiko wa hofu na vichekesho.

9. Tom and Jerry View attachment 2866565
Tom na Jerry: Paka na panya, vita vya vichekesho vinavyosisimua, hakuna maneno, tu vicheko.

8. Avatar the last Airbender View attachment 2866548
Avatar: Ulimwengu wa Upepo, Aang anatafuta amani, kujifunza kubadili vipengele na kupigana na kishujaa.

7.Foster's home for imaginary friends View attachment 2866544
Nyumba ya Fosters: Marafiki wa Kufikirika, mahali pa marafiki wa kufikirika kupata makazi, na adventures zao za kuchekesha.

6. Kids next door
View attachment 2866539
Ni katuni yenye vituko na vichekesho kuhusu kikundi cha watoto wa kishujaa wanaoitwa "Kids Next Door" wanaolinda haki za watoto dhidi ya watu wazima na vitisho vya ulimwengu.

5.Dexter's laboratory View attachment 2866537
Inaangazia maisha ya Dexter, mvumbuzi mwenye akili nyingi, lakini pia ni kijana wa kawaida. Anamiliki maabara yake ya siri nyumbani, ambapo hufanya majaribio yake na kubuni vifaa vya kushangaza. Hata hivyo, Didi, dada yake mkubwa, mara nyingi huingilia na kuvuruga majaribio yake.

4. Samurai Jack View attachment 2866525
"Samurai Jack" ni mfululizo wa katuni ulioanzia mwaka 2001 na kuisha mwaka 2017. Inamfuatilia Jack, mwanaume mshindi wa vita anayepambana na adui yake, Aku. Aku anamtuma Jack kwenye wakati wa baadaye, ambapo anajikuta akipigana na vikwazo vya kipekee na kukutana na wahusika wa ajabu. Mfululizo huu unajulikana kwa staili yake ya sanaa ya michoro, muziki, na hadithi yenye kina. Jack anatafuta njia ya kurudi nyumbani na kumshinda Aku, akikabiliana na changamoto za kishujaa na kiroho kwenye safari yake.

3. The Simpsons
View attachment 2866523
"The Simpsons" imeendelea kuwa maarufu tangu ilipoanza mwaka 1989. Inaonyesha maisha ya familia ya Simpson, hasa Homer, Marge, Bart, Lisa, na Maggie, wanaoishi katika mji wa Springfield. Mfululizo huu wa kipekee unajulikana kwa ucheshi wa kijamii, vichekesho vya utani, na pia uchambuzi wa kijamii. Katuni hii imefanikiwa kujenga utambulisho wake wa kipekee na kuwa mojawapo ya vipindi vya runinga vilivyodumu kwa muda mrefu zaidi.

2. Gravity falls View attachment 2866521
ilianza mwaka 2012 na kuisha mwaka 2016. Inaonyesha maisha ya kaka na dada, Dipper na Mabel Pines, wanaotumwa kwa shangazi yao katika mji wa Gravity Falls. Wakiwa huko, wanagundua siri nyingi za kichawi zinazohusisha vitu vyenye nguvu na viumbe wa ajabu. Kupitia msimu wa miezi mitatu, wanakabiliana na mafumbo, siri za familia yao, na uovu wa mkuu wa mji huo. Mfululizo huu wa kupendeza unachanganya ucheshi, mienendo ya kusisimua, na hadithi ya kuvutia inayovuta watazamaji wa rika tofauti.

1. Ben 10
View attachment 2866520"Ben 10" ni mfululizo wa katuni ulioanzia mnamo mwaka 2005. Inamhusu Ben Tennyson, kijana mwenye umri wa miaka 10 ambaye anapata saa maalum inayompa uwezo wa kubadilika kuwa viumbe vya nje wenye nguvu. Pamoja na binamu yake Gwen na rafiki yao Kevin, Ben anasafiri kwa njia mbalimbali za ulimwengu na kukabiliana na hatari mbalimbali. Mfululizo huu wa kusisimua umekuwa maarufu kwa kuonyesha matukio ya kusisimua, ucheshi, na vita dhidi ya Aliens.


Kuna nilizosahau?
The secret saturday
 
Back
Top Bottom