Tukutane hapa wasomaji wakubwa wa vitabu (maarifa nyeti)

Tukutane hapa wasomaji wakubwa wa vitabu (maarifa nyeti)

Michael Chairman

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2015
Posts
922
Reaction score
586
Kwenye vitabu ndiyo mahali unapokutana na watu wenye akili sana na mawazo chanya na tunduizi ambayo yanakufanya uelimike , ufurahi , ushangae na hata kuduwaa.
Sasa kupitia uzi huu tukutane hapa wasomaji wakubwa wa vitabu tubadilishane maarifa toka vitabuni yenye kutujenga na kutupa hamasa kubwa ya kuayenda maisha bila kuwa uoga.

karibuni sana
Buhongwa book club2.png


Ndimi Michael the great one mwanagenzi.
 
Kitabu cha ngoswe penzi kitovu cha uzembi nahisi kilijuwa ndio kitabu cha mwisho kukisoma
 
Nimetokea kupenda kusoma vitabu,hasa vya lugha ya kingereza. Namalizia rich Dady, nianze na Win friend and influence people
 
Back
Top Bottom