Tukutane hapa wasomaji wakubwa wa vitabu (maarifa nyeti)

Tukutane hapa wasomaji wakubwa wa vitabu (maarifa nyeti)

Novel mpya ya shaffih Adam Shaffih (author wa Vuta n Kuvute) inatoka mwezi ujao inaitwa (Mtoto wa mama) si ya kukosa.
Vute n kuvute niliisoma shule ni Nzuri, hivi hakunaga app ya kusoma hivi vitabu vya kiswahili kama zilivyo sites zingine like AnyBook nk?
 
Wakuu. Naombeni hiki kitabu
Screenshot_20241014-190258.png
 
Back
Top Bottom