Tukutane hapa watu wenye allergies za ajabu za ngozi, ukila au ukinywa au ukivuta unapata madhara ya ajabu mfano vipele, mikwaruzo, n.k

Sawa lakini sasahivi lugha yetu ya kiswahili imekuwa tajiri hivyo hakukuwa na haja ya wewe kutumia neno "Allergies", badala yake ungetumia neno "Mzio".
Ni neno limekaa safi na kiumaridadi!.

Mimi sidhani kama nina mzio ila kuna siku sikumbuki hata nilikula nini!, Tumbo likaanza mashetani yake!, ghafla tu nikatapika!.. ulikuwa ni mtapiko mmoja tu ila ni ule ambao unakuja haraka yani ni hauwezi kuuzuia hata uwe umekaa sijui na nani ile ni moja kwa moja!, bahati nzuri nilikuwa sehemu nzuri kwa hilo jambo laiti ningekuwa kwenye jumuhiya ya watu walahi sikuhiyo ningeaibika!.
baada ya hapo mwili ukaanza kuwasha miguuni na mikononi!, nusu saa tena vidole vikaanza kuvimba nikajua haya sasa shughuli imeanza!.
ila haikukaa sana ile hali ikaisha sijui ndo ulikuwa ni mzio ama nini!.
 
Nikila tuu anything reach in protein kama samaki...mayai....dagaa...kitimoto...nazi vipele vinatoka hatari...shingoni mikononi nk

Dawa inanisaidia predinoselene....lakini nayo madhara yake makubwa...najitahidi ku abstain kwenye hivyo vitu
 
Pole...kutapika sio jambo la aibu...hata kujamba pia...ili mradi tafuta mazingira ya staha kama hali imeruhusu na sio dharura isiyowezekana kumudu
 
So far watoto wasikuhizi hususani WA dar es salaam wao na allergy ni dam dam
 
Nikila tuu anything reach in protein kama samaki...mayai....dagaa...kitimoto...nazi vipele vinatoka hatari...shingoni mikononi nk

Dawa inanisaidia predinoselene....lakini nayo madhara yake makubwa...najitahidi ku abstain kwenye hivyo vitu
Nilikuwa na mzio wa kutokula nyama yoyote dagaa na samaki wabichi,nikila naumuka mwili mzima na vipele vidogo vidogo mwili mzima
Nikapewa dawa na mzee mmoja mpaka leo hiyo ni mwaka 1979
 
Back
Top Bottom