Mechi hii Simba wanajiamini watatoka na ushindi mechi za Simba na yanga ni mgumu kutabiri mimi nakumbuka Gaga akiwa fomu mechi yake ya kwanza kukosa penati ilikua yanga na simba...mpira uligoma kuingia nyavuni uligonga mwamba wa kushoto ukampita kipa nyuma ukagonga kulia wakaosha...hilo Tuta lilipatikana baada ya Rajabu Rashidi kuokota mpira ndani ya eneo la penati na kumpelekea Tefa akidhani faulo Refa akamuuliza nini? akaweka tuta.,,matokeo yalikua moja moja Tuta liliota mbaya matokeo yalikua yanga 3 simba 1 full time.,