Tukutane taifa

Tukutane taifa

jjmafulo

Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
60
Reaction score
68
Sijawahi kuipenda team ya ccm mi ni mwekundu damu damu hapa chadema hapa simba hapa aseno
1475294217795.jpg
 
kikosi hiki cha mikosi kinanolewa na LIPUMBA
 
1. Angban
2. Bokungu
3. Zimbwe Jr
4. Juuk
5. Mwanjali
6. Mkude
7. Kichuya
8. Ndemla
9. Mavugo
10. Ajibu
11. Mnyate
 
kama namuona Ajibu akitupia bao la kwanza dakk ya 25, dakika ya 44 Mnyate anarud antupia jiwe jingine huku mavugo akitoa assist na kichuya anamaliza kalama ya magoli.
Bao pekee la Yanga linafungwa na Msuva dakika ya 90+4 kwa mkwaju wa penati.
full Yanga 1-3 Simba
 
Mechi hii Simba wanajiamini watatoka na ushindi mechi za Simba na yanga ni mgumu kutabiri mimi nakumbuka Gaga akiwa fomu mechi yake ya kwanza kukosa penati ilikua yanga na simba...mpira uligoma kuingia nyavuni uligonga mwamba wa kushoto ukampita kipa nyuma ukagonga kulia wakaosha...hilo Tuta lilipatikana baada ya Rajabu Rashidi kuokota mpira ndani ya eneo la penati na kumpelekea Tefa akidhani faulo Refa akamuuliza nini? akaweka tuta.,,matokeo yalikua moja moja Tuta liliota mbaya matokeo yalikua yanga 3 simba 1 full time.,
 
Dakika ya 40 kipindi cha kwanza simba wako mbele kwa goal mbili wkt yanga hawajapata kitu
 
Back
Top Bottom