queen of the jungle
JF-Expert Member
- Mar 17, 2017
- 228
- 430
Mateja?Habari za saizi wadau nataka watu watano wajitokeze tufungue kampuni ya udalali itakayo kuwa inaendeshwa kimtandao na kiprofessional ambayo itajihusisha mpk na utengenezaji wa mikataba kwa mateja ukiwa interested njoo pm but uwe ni mtu unayejielewa
Humu JF tafuta watu wa kufungua kampuni ya kukodisha watu wa Maandamano ya kisiasa au watukanaji wa mitandaoni, watakuja wengi mpaka utawakimbiaHabari za saizi wadau nataka watu watano wajitokeze tufungue kampuni ya udalali itakayo kuwa inaendeshwa kimtandao na kiprofessional ambayo itajihusisha mpk na utengenezaji wa mikataba kwa mateja ukiwa interested njoo pm but uwe ni mtu unayejielewa
Mimi nimekuelewa. Japo hujatoa masharti na vigezo vywa kuweza kujiunga.. Tunaomba ufafanuzi kidogo basiHabari za saizi wadau nataka watu watano wajitokeze tufungue kampuni ya udalali itakayo kuwa inaendeshwa kimtandao na kiprofessional ambayo itajihusisha mpk na utengenezaji wa mikataba kwa mateja ukiwa interested njoo pm but uwe ni mtu unayejielewa