Tukutane tufungue kampuni

Tukutane tufungue kampuni

queen of the jungle

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2017
Posts
228
Reaction score
430
Habari za saizi wadau nataka watu watano wajitokeze tufungue kampuni ya udalali itakayo kuwa inaendeshwa kimtandao na kiprofessional ambayo itajihusisha mpk na utengenezaji wa mikataba kwa mateja ukiwa interested njoo pm but uwe ni mtu unayejielewa
 
Habari za saizi wadau natafuta watu wa kufungua nao kampuni la udalali wawe watatu tuu na wawe wanajielewa kampuni hii utaendelea kiprofessional Zaidi tofauti na ilivyo zoeleka ukiwa interested njoo pm but uwe ni mtu unayejielewa
 
Habari za saizi wadau nataka watu watano wajitokeze tufungue kampuni ya udalali itakayo kuwa inaendeshwa kimtandao na kiprofessional ambayo itajihusisha mpk na utengenezaji wa mikataba kwa mateja ukiwa interested njoo pm but uwe ni mtu unayejielewa
Mateja?
 
Unakosea kutangaza ingawa unania njema!
Weka vizur , biashara za ubia sio mchezo
Unawesifa moja tu
Ya kujielewa unadhani kuna mtu anayejua hajielewi!
 
Hapa Lete mambo ya Umbea ndio utapata support. Maendeleo watu hawayataki.

Good luck though.
 
Habari za saizi wadau nataka watu watano wajitokeze tufungue kampuni ya udalali itakayo kuwa inaendeshwa kimtandao na kiprofessional ambayo itajihusisha mpk na utengenezaji wa mikataba kwa mateja ukiwa interested njoo pm but uwe ni mtu unayejielewa
Humu JF tafuta watu wa kufungua kampuni ya kukodisha watu wa Maandamano ya kisiasa au watukanaji wa mitandaoni, watakuja wengi mpaka utawakimbia
 
Habari za saizi wadau nataka watu watano wajitokeze tufungue kampuni ya udalali itakayo kuwa inaendeshwa kimtandao na kiprofessional ambayo itajihusisha mpk na utengenezaji wa mikataba kwa mateja ukiwa interested njoo pm but uwe ni mtu unayejielewa
Mimi nimekuelewa. Japo hujatoa masharti na vigezo vywa kuweza kujiunga.. Tunaomba ufafanuzi kidogo basi
 
Back
Top Bottom