Tukutane tuliosoma Vyuo vya Mjini na kero zake

Tukutane tuliosoma Vyuo vya Mjini na kero zake

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Tuliosoma vyuo vikuu vya mijini tukutane hapa.

Wahenga wanasema ukizaliwa mjini tu basi wewe Form 6. Ukikulia mjini basi tayari upo University.

Tuliosoma Vyuo Vikuu vya mjini kuna raha yake ambavyo waliosoma vyuo vya nje ya mji hawapati.

Kero nilioyokutana nayo mimi vyooni, licha ya vyuo vinawasomi lakini chooni watu wanajiasaidia haja kubwa halafu wanaacha juu akija mwengine ndio atie maji.
 
waafrika bhana 😊
Screenshot_20240717-193448~2.jpg
 
Hamkuwa civilized. Mkoani sijaeahi kukutana na jambo la kukuta mtu kaacha "muamala" wake chooni bila ku send
 
Huko chuo wameenda kusomea ujingaa....

Unashindwaje msomi kuflash choo aiseee😔😔😔😔
N huzunii
 
Tuliosoma vyuo vikuu vya mijini tukutane hapa.

Wahenga wanasema ukizaliwa mjini tu basi wewe Form 6. Ukikulia mjini basi tayari upo University.

Tuliosoma Vyuo Vikuu vya mjini kuna raha yake ambavyo waliosoma vyuo vya nje ya mji hawapati.

Kero nilioyokutana nayo mimi vyooni, licha ya vyuo vinawasomi lakini chooni watu wanajiasaidia haja kubwa halafu wanaacha juu akija mwengine ndio atie maji.
Ile route ya kutoka savei kwenda COAF udsm asubuhi ilinifanya nichukie chuo kabsa sema kibabe nkamaliza Ila nilikua najiona kma nasoma day school tu
 
Ustaaarabu choopni watu wanaaacha mizigo chooni. Unaaamka asubuh maji hayatoki ile hustle ya D.I.T back in days 2014 ilikua serious mnoo
 
Back
Top Bottom