Ile route ya kutoka savei kwenda COAF udsm asubuhi ilinifanya nichukie chuo kabsa sema kibabe nkamaliza Ila nilikua najiona kma nasoma day school tuTuliosoma vyuo vikuu vya mijini tukutane hapa.
Wahenga wanasema ukizaliwa mjini tu basi wewe Form 6. Ukikulia mjini basi tayari upo University.
Tuliosoma Vyuo Vikuu vya mjini kuna raha yake ambavyo waliosoma vyuo vya nje ya mji hawapati.
Kero nilioyokutana nayo mimi vyooni, licha ya vyuo vinawasomi lakini chooni watu wanajiasaidia haja kubwa halafu wanaacha juu akija mwengine ndio atie maji.
Alafu utasikia mjinga mmoja wadhungu wachafuUsafi wa vyoo ni changamoto kwa nchi nzima