Tman900
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 589
- 1,897
Jana Mida ya Saa 8. Nilitoka Nje ya sehemu Yangu ya kibiashara(Ninapotafutia Ridhiki)
Kuna Watu walikua wanacheza Draft wanachangamsha Akili, Miongoni mwao alikuepo mzee mmoja ambae ni kiongozi ktk msikiti fulani.
Mara Nyingi huwa nafanya Baadhi ya Mambo ktk huo msiki ikinipendeza kufanya, na Huyo Mzee alishawishika kuniambia wanitie maji akimaanisha nisilimu, niwe muislamu.
Watu wengi wanaonizunguka na sehemu ninayofanyia bishara Ina milikiwa na mzee wa kiisilamu, shughuli Zao za kidini huwa natoa saport pale panapoitaji saport na ikiwa iko ndani ya uwezo wangu.
Kwa kuwa Huyo Mzee alinieleza Suala la kubadili Dini. Aliliongea hilo Jambo Mbele za watu wengi na waliosikia ni wengi, nilitafakari kwa muda jibu la kumpa.
Ila nilipata jibu la kumpa ambalo nilihisi litakua sahihi.
Jibu langu nilisema hivi.
"Nashukuru kwa ulichoniambia Ila Mungu ni mwingi wa rehema na rehema zake hazichunguziki, panapo majariwa ya Mungu Kama amepanga Hilo litokee litatokea Ila tuendelee kuombeana, na Naimani siku Moja Mungu atatenda lipaswalo kutenda".
Baada kua nimeongea Maneno hayo nilikaa dakika chache nikaondoka eneo Hilo.