Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
Naunga mkono %Mbeya is the most blessed land in Tanzania 🇹🇿
Dunia ya Leo habari bila picha au video clip sw na takataka Tu
Ila sio wachoyo!! Ni wakarimu sana kwa wageni.Mademu wa huko sasa mdomo koma
Kama ulaya hv. Asante sana kwa picha happy caltex area.Mkeka wa Tukuyu ni Moja ya mikeka imara ndani ya mipaka ya Tanzania.
View attachment 2886204
View attachment 2886205
HakikaIla sio wachoyo!! Ni wakarimu sana kwa wageni.
"Ukiona naenda kwenye mgomba uniangusaage"Mademu wa huko sasa mdomo koma
Dharau mkuu"Ukiona naenda kwenye mgomba uniangusaage"
Sehemu ambazo gharama za maisha ziko chini sana ujue mzunguko wa pesa uko chini pia.Nilibahatika kufika Tukuyu Mbeya ule mji Ni moja ya wilaya zilizobarikiwa kwa kuwa na mandhari ya kipekee Sana, Hali ya hewa ya kule uko cool mda wote. Vyakula Sasa ushindwe wewe na tumbo lako. Zaidi maji Safi ya mito na bomba yasiyo na Mita. Lita ya maziwa 600, wapenzi wa kitimoto, kilo 6000, mkungu wa ndizi 5000. Sijui wanyakyusa wanaokimbia kwao wanashida gani???????? Wanyakyusa majibu tafadhali......................... Wewe kwenu kukoje? Usiogope nyumbani ni nyumbani.
Wewe umeona vyakula hujaangalia fulsa za kiuchumi ndo mana unawashangaa wanaokimbia kwao. Nakuhakikishia mandhari nzuri sio pull factor pekee yakukufanya usifie sehem tunachoangalia ni mzunguko wa maokoto. We huoni dar jiji chafu linanuka watu wameshonana Hali ya hewa mbaya lkn watu wanazid kumiminika tuNilibahatika kufika Tukuyu Mbeya ule mji Ni moja ya wilaya zilizobarikiwa kwa kuwa na mandhari ya kipekee Sana, Hali ya hewa ya kule uko cool mda wote. Vyakula Sasa ushindwe wewe na tumbo lako. Zaidi maji Safi ya mito na bomba yasiyo na Mita. Lita ya maziwa 600, wapenzi wa kitimoto, kilo 6000, mkungu wa ndizi 5000. Sijui wanyakyusa wanaokimbia kwao wanashida gani???????? Wanyakyusa majibu tafadhali......................... Wewe kwenu kukoje? Usiogope nyumbani ni nyumbani.
Utani mkuuDharau mkuu
Kama KisaraweSehemu ambazo gharama za maisha ziko chini sana ujue mzunguko wa pesa uko chini pia.
Mkuuu ushawai kufika Karagwe MkuuNilibahatika kufika Tukuyu Mbeya ule mji Ni moja ya wilaya zilizobarikiwa kwa kuwa na mandhari ya kipekee Sana, Hali ya hewa ya kule uko cool mda wote. Vyakula Sasa ushindwe wewe na tumbo lako.
Zaidi maji Safi ya mito na bomba yasiyo na Mita. Lita ya maziwa 600, wapenzi wa kitimoto, kilo 6000, mkungu wa ndizi 5000. Sijui wanyakyusa wanaokimbia kwao wanashida gani???????? Wanyakyusa majibu tafadhali.........................
Wewe kwenu kukoje? Usiogope nyumbani ni nyumbani.