Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
- Thread starter
- #221
Utaenjoy wanyakyusa Tena kwa churavp warembo wa huko wana chura? panafaa niki retire. maana sina mpango kurudi nilipozaliwa na kukulia meru nimesafisha meno.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utaenjoy wanyakyusa Tena kwa churavp warembo wa huko wana chura? panafaa niki retire. maana sina mpango kurudi nilipozaliwa na kukulia meru nimesafisha meno.
Uko sahihi Sana mkuuHata beer zao ni tamu sana!
Siku nyingine kumbuka kuwa Tukuyu si wilaya bali ni makao makuu ya wilaya ya Rungwe.Nilibahatika kufika Tukuyu Mbeya ule mji Ni moja ya wilaya zilizobarikiwa kwa kuwa na mandhari ya kipekee Sana, Hali ya hewa ya kule uko cool mda wote. Vyakula Sasa ushindwe wewe na tumbo lako.
Zaidi maji Safi ya mito na bomba yasiyo na Mita. Lita ya maziwa 600, wapenzi wa kitimoto, kilo 6000, mkungu wa ndizi 5000. Sijui wanyakyusa wanaokimbia kwao wanashida gani???????? Wanyakyusa majibu tafadhali.........................
Wewe kwenu kukoje? Usiogope nyumbani ni nyumbani.
Hapo Kama barabara ya kwenda Rungwe secondary Kijiji Cha Syukula?
Mimi kwetu Bulongwa Makete