Umepinga nini na umejibu nini? Kristo kwa wakatoliki ni kuiga waprotestanti. Vitabu vya kabla ya 1990 hakukuwa na kristo bali kristu. In fact kuna mkristo na mkristuSio kweli! Mimi ni mkatoliki, tunatumia yote. Waprotestant labda ndio hawana Kristu sababu imetokana na kilatini.
Sawa mkuu, ngoja nitafanya uchunguzi nami nifahamu zaidi.Umepinga nini na umejibu nini? Kristo kwa wakatoliki ni kuiga waprotestanti. Vitabu vya kabla ya 1990 hakukuwa na kristo bali kristu. In fact kuna mkristo na mkristu
Sijui umeandika nn na ww. kwahiyo Mungu ni mjinga kuumba mume na mke na kusema nendeni mkaijaze nchi???Swali fikirishi,Je ni kwanini Maaskofu,Watawa na makasisi wa Kanisa Katoliki wanaheshimika sana na kuaminika kwa jamii pamoja na waumini wao kuliko madhehebu mengine?
JIBU; Mbali na sababu nyingine kama vile viwango vya elimu,Nimegundua kwamba kitendo cha Watawa wakatoliki kula nadhiri za useja na kujitoa kufunga ndoa na kanisa zimewafanya waumini wao kuwaheshimu sana.Jaribu kufikiria kiongozi ni Askofu alafu ana mke na watoto,Je kwa akili za haraka haraka mtu huyu kweli ataweza kulitumikia kanisa na kulisha kondoo za Bwana? Ni vigumu kutumikia mabwana wawili! Patia picha huyo askofu ametoka nyumbani amekorofishana na mke wake na mtoto wake wa kiume anatumia madawa ya kulevya na binti yake amefumaniwa gesti na mume wa mtu! Huyu kweli atakuwa sawa?! Sikatai huenda wapo mapadre wanaenda kinyume na nadhiri zao lakini angalau anafanya hivyo akijua anakosea na haiwi kwa uhuru na wingi kiasi cha kuathiri kanisa kiujumla!
Hata wewe ukiona mtu amejitoa maisha yake kutokuoa/kutokuolewa kwa ajili ya Kristu lazima utampatia heshima kuliko yule aliyeoa/kuolewa huku anahudumia kanisa!
Ndio maana walikuwahi tangu ukiwa mdogo.Wanajijua.Usidhani ni wajinga.Watu wanapiga Kaunta Ataki.Kwa kipa kwa namba tisa goli.Imani yangu juu ya haya makanisa kuhusu, mienendo na misimamo ya viongozi nakata Tamaa.
Tofauti na nilivyoaminishwa nikiwa mdogo
Kwani KKKT ni sehemu ya serikali!Waumini wengi wako Rungwe/Tukuyu. Hana sababu za msingi kuhamisha makao makuu ya Dayosisi kwenda Mbeya eti awe karibu na Makao makuu ya mkoa. Kibaya zaidi kajiamulia yeye binafsi bila kuwashirikisha Wachungaji na Washarika.
Sema Wanyakyusa wa Rungwe ndio wana ubinafsi mno,hao hao wa Rungwe ndio chanzo cha mgogoro wa kanisa la Moravian Kyela hadi wan Kyela wengi wamejitenga, hata kwenye kugawa mali za wilaya za Kyela na Ileje ni hao hao Wanyakyusa wa Rungwe wakati mali zote wachukuwe wao pale serikali ilipoamua kuzitoa wilaya za Ileje na Kyela kutoka wilaya moja ya Rungwe, hao Wanyakyusa wa Rungwe pamoja na Busokelo wanataka kila kitu kiwe kwao, hata maaskofu wanataka watoke wilaya yao tu ya Rungwe.Inawezekana waumini wengi wapo Rungwe kama unavyosema lakini Tukuyu ipo pembeni sana kiasi kwamba mtu wa kutoka Tunduma au Rujewa Mbarali akitaka huduma ina mgharimu pakubwa tofauti na Mbeya ambapo anweza akaenda na kurudi the same day na cost zikapungua.
Tatizo sisi wanyakyusa ubinafsi unatusumbua sana. Kwani kuna tatizo gani Dayosisi kuhamishwa sehemu nyingine? Mbona Magufuli alihamisha ofisi za serikali Dar kwenda Dodoma?
Wewe mjinga sana.Sema Wanyakyusa wa Rungwe ndio wana ubinafsi mno,hao hao wa Rungwe ndio chanzo cha mgogoro wa kanisa la Moravian Kyela hadi wan Kyela wengi wamejitenga, hata kwenye kugawa mali za wilaya za Kyela na Ileje ni hao hao Wanyakyusa wa Rungwe wakati mali zote wachukuwe wao pale serikali ilipoamua kuzitoa wilaya za Ileje na Kyela kutoka wilaya moja ya Rungwe, hao Wanyakyusa wa Rungwe pamoja na Busokelo wanataka kila kitu kiwe kwao, hata maaskofu wanataka watoke wilaya yao tu ya Rungwe.
Kwa hiyo Yesu alikuwa mjinga kusema ni vigumu kutumikia mabwana wawili? Mwana wa Mungu mwenyewe alioa? Mitume walioa? Kwa hiyo wao hawalijui swala la mume na mke?Sijui umeandika nn na ww. kwahiyo Mungu ni mjinga kuumba mume na mke na kusema nendeni mkaijaze nchi???
Sent from my itel A16 Plus using JamiiForums mobile app
Ndiyo swali likumuuliza huyo mwenye pepoKwani KKKT ni sehemu ya serikali!