Huyo Askofu wanachomlalamikia Ni kutofuata Taratibu za kuhamalisha makao makuu
Waumini wanatakiwa kuridhia
Waumini wakigoma anafukuza wachungaji anasema ndio wanachochea waumini !!! So kweli haiwezekani wakawa wachungaji 25 makanisa tofauti wote lao moja angekuwa mmoja au wawili hapo sawa lakini 25 dayosisi moja sio kweli huyo Askofu ana shida.Mimi.ningeweza kuwa convinced Kama Ni wawili au watatu lakini 25 !!!! Tena makanisa mbalimbali yeye ndie mkorofi anayegombana na kila Mchungaji
Anyway KKKT makao makuu chukueni hatua pelekeni Askofu mwingine wa Mpito haraka Mtafuteni popote .Hilo tatizo lilishawahi tokea sehemu nyingi tu ikiwemo Dayosisi ya KKKT ya mashariki na Pwani wakati huo ikiongozea na Askofu Mhuni na fisadi Jerry Mngwamba aliyekuwa Mchungaji pale Azania Front.KKKT ili respond haraka bila kusubiri Serikali iingilie Kati wakamuweka pembeni akashika Askofu wa Muda toka nje ya Dayosisi Palipotulia wakaitisha uchaguzi ndio Akapatikana Askofu Malasusa
KKKT ni Kanisa lenye hadhi muwekeni pembeni huyo mhuni ,kibaka na fisadi wekeni pembeni pelekeni Askofu wa Muda toka Dayosisi zingine asimamie Hadi kutulie.Arudishe wachungaji wote waliofukuzwa na apewe muda halafu aitishe uchaguzi akishaona Hali tulivu Kama ilivyofanyika Dayosisi ya Mashariki na Pwani ambamo Dar es salaam imo