Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Kuna sehemu niliona wameandika KANISA LA MUNGU BABA.Huwezi kuta upuuzi kama huu ndani ya kanisa la mitume CATHOLIC
CATHOLIC ni la mitume, nilikuwa sijui.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna sehemu niliona wameandika KANISA LA MUNGU BABA.Huwezi kuta upuuzi kama huu ndani ya kanisa la mitume CATHOLIC
Huyu Askofu ametufedhehesha sana kwa kukosa hekima.Labda huelewi
Mbeya yenyewe wanataka dayosisi Yao sio kuihamisha dayosisi! Kama vile hii dayosis ilivyoombwa toka Iringa! Yaan wanakonde waliomba dayosis Yao kwani wamekuwa na wanataka wajitegemee! Hivyo hivyo mbeya wanataka dayosis Yao wajitegemee! Si kuhamisha dayosisi
Halafu unaposema dayosis ya konde! Neno konde ni eneo linalojumuisha, tukuyu, busokelo na kyela! Sasa ukileta mbeya mjini huko si konde
Kanisa ni ;Kuna sehemu niliona wameandika KANISA LA MUNGU BABA.
CATHOLIC ni la mitume, nilikuwa sijui.
Milele AminaKanisa ni ;
MOJA
TAKATIFU
KATOLIKI
LA MITUME.
Kanisa pekee la MUNGU baba lililoanzishwa na YESU KRISTU mwenyewe chini ya usimamizi wa MITUME na uangalizi wa ROHO MTAKATIFU.
Hapana Mimi ni muumini mzuri Sana,lakini Kuna jambo linanitatiza kuhusu matendo ya Hawa ViongoziUtakuwa mfuasi wa Kiranga wewe sio bure
Mpaka kufika hatu ya kususiwa Uaskofu wako, ina maana upako umeingia dosari.Waumini wa kanisa la KKKT Usharika wa Tukuyu Mjini ulioko Dayosisi ya Konde wamemfukuza kanisani hapo Baba Askofu wa Dayosisi hiyo Dkt. Edward Mwaikali.
Waumini hao wamedai kuwa Askofu huyo hawasikilizi na amekuwa akiwafukuza kazi wachungaji wasiomuunga mkono katika maamuzi yake.
Pia soma: Mbeya: Wachungaji 25 wa KKKT Wafutiwa ajira ya Uchungaji Dayosisi ya Konde
Umenichekesha saana. Haya sasa nifahamishe uone ntavyoshindwa kujua.Wewe msumbwa huwezi kujua. Jina lenywe mkenaguzi
Malasusa ana shida gani?Yes......wananchi wanapoamua kuyamiliki mamlaka......dayosisi nyingine zijifunze kitu hapo.....MALASUSA UPOOOOO?
Kwanini isiwe bado Bagonza au Shoo?Bado malasusa
KKKT siyo makondoo!Maji hufuata mkondo.KKKT kiasili ni kanisa la ki harakati toka enzi za Martin Ruther King.
Ccm Ipo TayariBado CCM siku yao inakuja nao
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Haa😂😀😁😃😁😂😀KKKT siyo makondoo!
Huwa nashangaa sana eti katolic kama hujatoa michango hubatizi mtoto au jufunga ndoa. Hiyo si ni sawa na kuuza huduma ya kiroho?
Katolic inaendeshwa kisiasa! Waumini wake ni kama makondoo!Huwezi kuta upuuzi kama huu ndani ya kanisa la mitume CATHOLIC
Huyu wa mashariki na pwani zile zilikuwa ni harakati za wachaga kutaka kutawala wao!Baadhi ya Maaskofu wa KKKT wanaotokea Mbeya ni controversial, Huyo, Mwaipopo wa Sumbawanga, Wa Mashariki na Pwani naona sasa upepo umetulia.
Siyo magufuli alihamisha ofisi dodoma hadi ikulu ilihamia chato kwao na uwanja wa ndege sasa wanachungia mbuziInawezekana waumini wengi wapo Rungwe kama unavyosema lakini Tukuyu ipo pembeni sana kiasi kwamba mtu wa kutoka Tunduma au Rujewa Mbarali akitaka huduma ina mgharimu pakubwa tofauti na Mbeya ambapo anweza akaenda na kurudi the same day na cost zikapungua.
Tatizo sisi wanyakyusa ubinafsi unatusumbua sana. Kwani kuna tatizo gani Dayosisi kuhamishwa sehemu nyingine? Mbona Magufuli alihamisha ofisi za serikali Dar kwenda Dodoma?