Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Kama tatizo ni umbari si zigawanywi dayosisi mkuu!Inawezekana waumini wengi wapo Rungwe kama unavyosema lakini Tukuyu ipo pembeni sana kiasi kwamba mtu wa kutoka Tunduma au Rujewa Mbarali akitaka huduma ina mgharimu pakubwa tofauti na Mbeya ambapo anweza akaenda na kurudi the same day na cost zikapungua.
Tatizo sisi wanyakyusa ubinafsi unatusumbua sana. Kwani kuna tatizo gani Dayosisi kuhamishwa sehemu nyingine? Mbona Magufuli alihamisha ofisi za serikali Dar kwenda Dodoma?