Tule chapati na kitimoto roast

Mkuu,

Umeishi life langu la muda mrefu sana.

Kipindi nakaa kotaz.

Nilikuwa nikipika wanawake wote floor za juu wanashuka.

Utasikia tuoweee.

Wanawake wahuni sana.
Umenikumbusha miaka fulani huko mwanza, dada jirani kila saa mbili anakuja kuuliza umepika nini korido yote inanukia....ana kibakuli anataka mboga tu 😂
 
Kwa mapishi haya motomoto utakumbuka kuoa kweli kijana? Kataa ndoa. Ndoa ni utapeli.
 
Umenikumbusha miaka fulani huko mwanza, dada jirani kila saa mbili anakuja kuuliza umepika nini korido yote inanukia....ana kibakuli anataka mboga tu 😂
Wajinga sana hawa.

Utasikia tuowee.
 
Una hadi kibao cha Chapati wewe Kuoa itakuwa ni hadithi za Alfu ulela ww na Nyeto Dam dam.
 
Sijui kwanini ila ni ngumu msela mkaa gheto kupika chapati , sasa wewe mwenzetu kila tukikupigia simu siku ya kikao unakuja umelewa ona sasa
 
Mkuu,

Umeishi life langu la muda mrefu sana.

Kipindi nakaa kotaz.

Nilikuwa nikipika wanawake wote floor za juu wanashuka.

Utasikia tuoweee.

Wanawake wahuni sana.
Wanakujaza ili wale bure 😹
 
Angesukumia ata kwenye jaba, enzi zangu kabla sijao nilitest kupika chapati magetoni na masela tulisukumia kwenye mfuniko wa jaba na chupa ya Pepsi aloo machapati yalikuwa mazito afu mbichi tuliarisha mno
Kafa paka, kazikwa nyau 😹😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…