Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
😹😹😹 tumpige atasema alipofichaHadi shanga nadhani anavaa....mwanaume unakunja chapati namna hiyo subutuuuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😹😹😹 tumpige atasema alipofichaHadi shanga nadhani anavaa....mwanaume unakunja chapati namna hiyo subutuuuu
Nimeona nembo ya infinixIphone mkuu
Zinakuwa kama zile za wafarisayo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umetisha sana mkuu, unanizidi kupika chapati, mimi nikipika hazikunjiki hivo sijui nakosea nini zinakua kaukau[emoji3]
Aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna jamaa nimekaa nae hapa anasema mbona kama chapati za mafalisayo
Acha kabisa, chapati inasimama na mguu mmoja vizuri tu😀😀Zinakuwa kama zile za wafarisayo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ukimzaba nayo mwizi anazima kidogo kwanza aiseeAcha kabisa, chapati inasimama na mguu mmoja vizuri tu[emoji3][emoji3]
Unaoa alafu anakupikia hausigeloaisee acheni ujinga madogo oeni
Yaani ni silaha kabisa, mwizi aniguse aone na chapati yangu namdunda nayo😀😀[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ukimzaba nayo mwizi anazima kidogo kwanza aisee
Hapna kabisa hii hapaNimeona nembo ya infinix
Oacha basiMkuu,
Umeishi life langu la muda mrefu sana.
Kipindi nakaa kotaz.
Nilikuwa nikipika wanawake wote floor za juu wanashuka.
Utasikia tuoweee.
Wanawake wahuni sana.
Mwachiluwi wewe ni mwanangu faida umetoa kitu safi but utakabwa my fellow man...ukavu huo kama upo safarini safarini mkuuHello
Leo ilikuwa siku ngumu sana kwangu nikawa nimerudi home nimechoka sijao ni bachela nikawaza chakula usiku uhu nikakosa
Nikakumbuka nina ngano na kitimoto nikaona niandae chap nile usiku nisije umwa vidonda vya tumbo
Nikaanza na chapati
View attachment 3203781
Nilipo maliza nika ingia sasa kwenye kitomoto
View attachment 3203782
Baada ya hapo nika andaa now nakula karibuni
View attachment 3203783
Ahah pika mala kwa mala utaweza tuAcha kabisa, chapati inasimama na mguu mmoja vizuri tu😀😀
Maji si yapo mkuuMwachiluwi wewe ni mwanangu faida umetoa kitu safi but utakabwa my fellow man...ukavu huo kama upo safarini safarini mkuu
Hee mkuu hizo pm 14 ni za maombi baada ya kupika chapoo ama?🥳Hapna kabisa hii hapa
Ahahah unaisukuma sana ua kwenye kukanda ngano unakosea ila pika mala kwa malaUmetisha sana mkuu, unanizidi kupika chapati, mimi nikipika hazikunjiki hivo sijui nakosea nini zinakua kaukau😀
Nimejaribu sana mkuu kila siku natoa kaukau hadi nimesusa sasa nanunua tu😀😀Ahah pika mala kwa mala utaweza tu
HapanaNa sufuria unalisugua