Tule chapati na kitimoto roast

Tule chapati na kitimoto roast

Attachments

  • IMG_0109.png
    IMG_0109.png
    299.6 KB · Views: 3
Hello

Leo ilikuwa siku ngumu sana kwangu nikawa nimerudi home nimechoka sijao ni bachela nikawaza chakula usiku uhu nikakosa

Nikakumbuka nina ngano na kitimoto nikaona niandae chap nile usiku nisije umwa vidonda vya tumbo

Nikaanza na chapati

View attachment 3203781
Nilipo maliza nika ingia sasa kwenye kitomoto


View attachment 3203782
Baada ya hapo nika andaa now nakula karibuni
View attachment 3203783
Mwachiluwi wewe ni mwanangu faida umetoa kitu safi but utakabwa my fellow man...ukavu huo kama upo safarini safarini mkuu
 
Back
Top Bottom