hauleibrahim
Senior Member
- May 17, 2024
- 183
- 125
Tukisema mtoto ni taifa la kesho iwe Ina maanisha Kwa vitendo Kwa wadau wazazi mpka serikali yenyewe.
Ifike mahali wataalam waafya watoe masomo ya mlo kamili Kwa kina mama wajawazito wapo kliniki ili kutengeneza mtoto Bora wa kesho pia ni vizuri wataalam wa afya wakawaoa elimu mama wa jawazito wajue umuhimu wa kuwa fanyia vipimo vya mara Kwa mara watoto wao baada ya kuanza kuwalea.
Wataalamu wakitimiza majukumu yao Kwa mama wajawazito ni rahisi kutengeneza watoto wa kesho wenye afya Bora na wenye akili.
Hii elimu itolewe kwenye kila kituo iwe ni kituo binafsi au serikali elimu ya mlo kamili mama mjamzito aipate ili kurahisisha kutengeneza watoto wenye afya na akili Bora Kwa taifa la kesho.
Mama apewe elimu ya mlo kamili Kwa mtoto pia apewe elimu ya umuhimu wa kuzingatia upimaji wa mara Kwa mara wa mtoto ili kujua ukuaji wake na afya yake kiujumla katika ukuaji wake.
Mtoto ni taifa la kesho ni lazima aandaliwe Kwa ubora Leo hii.

Upvote
2