Tuletee historia ya ukoo wako hapa...

Tuletee historia ya ukoo wako hapa...

maramojatu

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2012
Posts
1,749
Reaction score
2,319
Wanajukwaa za kwenu?
Leo nimekuwa nikifikiria kuhusiana na historia yetu kama watanzania ambayo lazima ianze na mtu mmoja mmoja.

Ukipitia biblia utaona katika kitabu cha Mathayo kuna historia ya ukoo wa Yesu wengine wakimwita Issa. Ni wangapi kati yetu ambao wanaweza kuandika vizazi vyao hata nusu ya kizazi cha Yesu- vizazi 42? Rejea Mathayo 1:1-17.

Tukifanya hii tunaweza kuandika historia ya kweli ya Afrika.

Asante na kazi njema kwenye kuandika historia za koo zetu.
Nawasilisha
 
Labda aanze na ya Ukoo wake. Ukoo wetu ukiufuatilia kwa vizazi 42, utajikuta uko Meroe...
 
Kama unamjua babu wa babu yako mwambie mhudum akupe castle nakuja kulipa
 
Swali ni kwamba kina yesu waliwezaje sisi tunashindwa Na technology yetu? Hii hauwezi kuelezea umaskini wetu pia?
 
Back
Top Bottom