Niko bench la mbele kabisa hapa.Wana JF naomba aliye na updates za kesi hii atuwekee hapa maana wengine huko Dar ni mbali sana kutoka hapa tulipo
Tuko gizani kwa kweli leoWana JF naomba aliye na updates za kesi hii atuwekee hapa maana wengine huko Dar ni mbali sana kutoka hapa tulipo
Huenda wamedhibitiwa kutoa taarifaWana JF naomba aliye na updates za kesi hii atuwekee hapa maana wengine huko Dar ni mbali sana kutoka hapa tulipo
Itakuwa ivo kuna kibano lakini watasema tuHuenda wamedhibitiwa kutoa taarifa
Sawa sasa kwa nini wengine wasirekodi na kuturushia??Boni yai ameziuwa kuingia na simu mahakamani
Hello nilipenda andiko lako la jana Kuhusu Jukwaa la Siasa, sikuweza kuchangia kwa sababu sipo vizuri kiafya.
Poleeπ’π’ upone haraka urudi tuendelee kakaHello nilipenda andiko lako la jana Kuhusu Jukwaa la Siasa, sikuweza kuchangia kwa sababu sipo vizuri kiafya.
Kwa hali hii jukwaa la siasa linaachaje kupoteza mvuto? Au ndio hizi point ulikuwa unataka tuchangie?
Kwa hali gani mkuu?Kwa hali hii jukwaa la siasa linaachaje kupoteza mvuto?
Nimeweka hiyo nukta ili kama kutakua na update zozote kwenye huu uzi nipate notification kuna tatizo kufanya hivyo?Au ndio hizi point ulikuwa unataka tuchangie?
Sasa nukta itafanyaje hili jukwaa kuwa bora? Si kosa, ila nukta haifanyi hili jukwaa kuwa bora.Kwa hali gani mkuu?
Nimeweka hiyo nukta ili kama kutakua na update zozote kwenye huu uzi nipate notification kuna tatizo kufanya hivyo?
Au una maana nyingine?
Sasa unaongea kitu gani π π akili gani hizi broSasa nukta itafanyaje hili jukwaa kuwa bora? Si kosa, ila nukta haifanyi hili jukwaa kuwa bora.
kwani kulikua na ulazima wa kumuita mwenzio kaka ππ,, unataka kumnyima nini πPoleeπ’π’ upone haraka urudi tuendelee kaka
π ila waja dah,, ya jana ni jana na ya leo ni leo jamni khaaKwa hali hii jukwaa la siasa linaachaje kupoteza mvuto? Au ndio hizi point ulikuwa unataka tuchangie?
Comment yake itawafurahisha watesi ππ ila waja dah,, ya jana ni jana na ya leo ni leo jamni khaa
yaan ni huzuniπ mi hata nishasahau kama uliweka bandiko la siasa kumbe kuna pipo zinaku drawComment yake itawafurahisha watesi π
Noma sanayaan ni huzuniπ mi hata nishasahau kama uliweka bandiko la siasa kumbe kuna pipo zinaku draw