Uchaguzi 2020 Tulia Ackson: 2020 nitagombea

Labda aende akachukue jimbo linalomilikiwa na S.H.Amon kwa sasa, pale Tukuyu. Vinginevyo atatafuta vita na Sugu pale Mbeya mjini.
Acha awe mbunge tu akalie kiti pale mjengoni. Yule aliyepo ana roho mbaya kama ya shetani. Simpendi kabisa!
 
Mbona wengi walishajua kwamba anaandaliwa kugombea jimbo huko Mbeya.. Na imeenda mbele zaidi kwamba anaandaliwa kuwa spika wa bunge lijalo 2020-2025..
Halafu job ataenda wap
 
Acha awe mbunge tu akalie kiti pale mjengoni. Yule aliyepo ana roho mbaya kama ya shetani. Simpendi kabisa!
Nimekaa najiuliza. Hivi ikitokea uchaguzi ujao akapewa mtu mwingine kitu cha Uspika, halafu huyu wa sasa akarudi kama Mbunge wa kawaida, hivi atajisikiaje ?
 
Halafu job ataenda wap

Atadanganywa na kauwaziri ndo atakuwa ameshatemwa vile.. Na inawezekana hata uwaziri asiupate, maana mfumo wa jiwe kutawala ni tofauti na watangulizi wake.. Ashakum si matusi lakini itakuwa kama condom iliyoisha tumika tena..
 
TENA ANAFAA SANA AGOMBEE URAIS 2020.
 
Mbeya sio wajinga
 
Wabunge watukutu mnamsumbua masikini dada wa watu 'kaanza kupiga bati' kichwani.


Mimi ni mwanamke lakini huyu daaah dume sio dume bora hata alivyoondoa yale madread angalao lakini bado no aisee
 
Beutifull with Brain Tulia Mimi Ntakupa kura yangu ukigombea ata niwe wapi ntarudi Nyumbani Mbeya Kukupigia Kura
Beautiful?? Tulia??? Haha haa kweli beauty lies in the eyes of beer_holder. [emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…