Tulia Ackson aache upotoshaji, Kiti cha Naibu Spika kiko wazi kikatiba

Soma vizuri maelezo ya vifungu mlivonukuu. Uchaguzi unafanyika ndani ya bunge na huu ni mchakato wa ndani ya CCM sasa leteni vifungu vya kisheria vya CCM vinavyomkataza tulia asuchukue form ndaninya CCM.
Pole sana, kumbe hauna
 
Kwani Tulia kagombea uspika?kwani fomu za uspika zimeshatolewa na ofisi ya bunge tuanzie hapo kwanza?
 
Kama Sheria inatambua ushindani kwenye vyama ili kubeba bendera ya chama kwenye kugombea uspika na wagombea wasio na vyama je?wataanza kutambuliwa wapi?
 
Kama Sheria inatambua ushindani kwenye vyama ili kubeba bendera ya chama kwenye kugombea uspika na wagombea wasio na vyama je?wataanza kutambuliwa wapi?
Hakuna mgombea asiyena chama ataruhusiwa kugombea soma katiba ndugu usikurupuke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…