Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Na kwamba baada ya Tuzo hizi Zinazodaiwa kuambatana Rushwa ya hela, kuna Mwandishi yeyote hapo Mbeya atakayeandika Ukweli mchungu kuhusu huyu Mbunge?
Ni lazima Mamlaka ikemee kitendo cha Kila Mtu kuwapa Tuzo Waandishi wa Habari, ikiwa kama kuna aliyeguswa na Umahiri wa Wanahabari basi atumie vyama vya Waandishi wenyewe, Vinginevyo mifereji ya rushwa itazidi kuongezeka .
Ikiwa hivyo, Keshokutwa Erythrocyte naye akiandaa Tuzo kwa Waandishi wa Habari asitokee mtu wa kutaka kuzuia, hatuwezi kuendesha nchi kiholela kwa matakwa na njama za ubinafsi, tutasababisha vurugu.