Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ni aibu sana.Kila anayejisikia anaanzisha tuzo zake na kuzitoa. Thamani ya tuzo imepotea nyakati hizi.
Halafu haijulikani hata vigezo wanavyotumiaUpepo wa tuzo kipindi hiki ni mkubwa sana. Dinamarious anagawa, ukienda Ths nao wanagawa zao, ukienda sijui global youth wanagawa. Mra interperurship awards. Mara nn sijui kama ulivyokuaga upepo wa marathon tu nao utapita
Ni ujinga ujinga tu.. masponsa wanatoa hela ya taasisi wanaweka humo. Ukiuliza utaambiwa "we value his/er impactful commitment strives pivotal roles .... " misamiati ya kijinga jinga kukutisha. Hii nchi mbumbumbu wengiHalafu haijulikani hata vigezo wanavyotumia
Tulia ni kiongozi anayeishi kwenye siasa kwa kutanguliza pesa kwanza, hakuna jambo ambalo amewahi kulifanya bila kutanguliza pesa kwa kuwa anajijua hana mvuto wa kisiasa na siasa haijui, kutokujua siasa ndiko kulimfanya aruke majeneza akiamini ndiyo njia ya mvuto.Na kwamba baada ya Tuzo hizi (Zinazodaiwa kuambatana Rushwa ya hela), kuna Mwandishi yeyote hapo Mbeya atakayeandika Ukweli mchungu kuhusu huyu Mbunge?
Ni lazima Mamlaka ikemee kitendo cha Kila Mtu kuwapa Tuzo Waandishi wa Habari, ikiwa kama kuna aliyeguswa na Umahiri wa Wanahabari basi atumie vyama vya Waandishi wenyewe, Vinginevyo mifereji ya rushwa itazidi kuongezeka .
Ikiwa hivyo, Keshokutwa Erythrocyte naye akiandaa Tuzo kwa Waandishi wa Habari asitokee mtu wa kutaka kuzuia, hatuwezi kuendesha nchi kiholela kwa matakwa na njama za ubinafsi, tutasababisha vurugu.
View attachment 3059624View attachment 3059626
Kwa jinsi wslivyozishika inaonesha wamepewa kwa masharti ya kutekeleza huku mtoa masharti akiwacheka.###NjeYaMada###Wamevaa hovyoo,,,Wanatia Huruma
✊Kwa jinsi wslivyozishika inaonesha wamepewa kwa masharti ya kutekeleza huku mtoa masharti akiwacheka.
UchawaHalafu haijulikani hata vigezo wanavyotumia
Hakuna tuzo anayotoa hapo zaidi ya rushwa huyu ajuza mwenye roho mbaya kama sura yakeNa kwamba baada ya Tuzo hizi Zinazodaiwa kuambatana Rushwa ya hela, kuna Mwandishi yeyote hapo Mbeya atakayeandika Ukweli mchungu kuhusu huyu Mbunge?
Ni lazima Mamlaka ikemee kitendo cha Kila Mtu kuwapa Tuzo Waandishi wa Habari, ikiwa kama kuna aliyeguswa na Umahiri wa Wanahabari basi atumie vyama vya Waandishi wenyewe, Vinginevyo mifereji ya rushwa itazidi kuongezeka .
Ikiwa hivyo, Keshokutwa Erythrocyte naye akiandaa Tuzo kwa Waandishi wa Habari asitokee mtu wa kutaka kuzuia, hatuwezi kuendesha nchi kiholela kwa matakwa na njama za ubinafsi, tutasababisha vurugu.
Siyo dada ni bibiUzee umenikamata sana nimeshindwa kutambua huyo dada aliyeshika Mike yupo live au kwenye mabandiko ya ukutani
Silly people receiving silly prizes from a silly lady in a silly season.Na kwamba baada ya Tuzo hizi Zinazodaiwa kuambatana Rushwa ya hela, kuna Mwandishi yeyote hapo Mbeya atakayeandika Ukweli mchungu kuhusu huyu Mbunge?
Ni lazima Mamlaka ikemee kitendo cha Kila Mtu kuwapa Tuzo Waandishi wa Habari, ikiwa kama kuna aliyeguswa na Umahiri wa Wanahabari basi atumie vyama vya Waandishi wenyewe, Vinginevyo mifereji ya rushwa itazidi kuongezeka .
Ikiwa hivyo, Keshokutwa Erythrocyte naye akiandaa Tuzo kwa Waandishi wa Habari asitokee mtu wa kutaka kuzuia, hatuwezi kuendesha nchi kiholela kwa matakwa na njama za ubinafsi, tutasababisha vurugu.
Hakuna tuzo hapo zaidi ya ujinga na wanaopewa wote ni UVCCMKila anayejisikia anaanzisha tuzo zake na kuzitoa. Thamani ya tuzo imepotea nyakati hizi.
Kabinti kule nyuma kabisa kameshika micSiyo dada ni bibi
Ni ajuzaKabinti kule nyuma kabisa kameshika mic
Duh jamaa utakuwa umezeeka zaidi yangu ajuza ajuza gani yule mbona ni mdadaNi ajuza