Tulia Ackson anatoa Tuzo kwa Waandishi wa Habari kama nani, Ili Iweje?

Kwani vitu vingine mkinyamaza mtakosa ugali mezani au?
 
Mamlaka unazolilia si ndo zile unazozikandia kila siku? Tumia sheria ya CHADEMA kuzuia hizo tuzo
 
Ma CHADEMA yanaona wivu tu. Wao kazi yao ni kuwadhulumu waandishi wa habari jasho lao.kama ambavyo ulisikia wale waandishi wa gazeti la Tanzania Daima wakilalamika kudhulumiwa jasho lao. Si unafahamu mmiliki wa Tanzania Daima?
Tutapambana na hiyo rushwa yenu kwa udi na uvumba
 
Katoa tuzo kama kama Rais wa mabunge duniani
 
Inasikitisha lakaini ni ukweli kuwa wanahabari usipowahonga kwa posho na vinywaji basi hutawaona wala hutaongeaa nao. Na story yako haitatangazwa kamwe. Rushwa hutolewa na mabalozi, wanasiasa, vyama vya siasa, makampuni, NGO na kadhalika
 
Huyu mwanamama ni kafisadi tu. Tuwe macho kuelekea 2025. Ccm mbeya tafutena mtu mzalendo na muadilifu.
 
Anahangaika tu.
 
K
Katoa tuzo dina marios sijaona ukihoji ,Tulia Trust ndio imetoa tuzo sio Spika wa Bunge tukufu la JMT na wewe toa ya kwako ukiona inauma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…