Tulia Ackson anatoa Tuzo kwa Waandishi wa Habari kama nani, Ili Iweje?

Alietoa hizi tuzo hajielewi na wanaozipokea hizi tuzo niwajinga
 
K

Katoa tuzo dina marios sijaona ukihoji ,Tulia Trust ndio imetoa tuzo sio Spika wa Bunge tukufu la JMT na wewe toa ya kwako ukiona inauma
Rushwa haijawahi kuwa Tuzo
 
Tunaomba Waliopewa tuzo hizo wazirejeshe kwa Watoaji haraka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…