Tulia Ackson awataka viongozi wa magharibi kumheshimu. Ni baada ya kushambuliwa kuhusu kukutana na Vladmir Putin

Naona wengi wanampongeza lakini kuna mapungufu mengi sana.
 
M
Ukraine kipondo cha kujitakia. Swali la kijinga sana
Ningekuwa mimi nisingelitolea maelezo. Muulizaji ningemjibu kwa swali Ningemuuliza nilitakiwa nianzie wapi na kwa ulazima gani
i ningemuuliza, who gave you the mandate to ask me that question, Is it written as a law that I should not visit Russia?

Kimsingi nisingelujibu.
 
Tulia alikuwa sahii kuwadharau wazumgu wa ulaya kama Trump anavyo wadharau kwa saSa. Tulia aliona mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…