figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Kwenye Page yake ya Instagram, aliyekuwa Spika wa Tanzania bunge la 12, Kapost Picha yake akiambatanisha na wimbo wa Lucky Dube wa Jah save Us, Kipande kinachosema tafsiri isiyo rasmi kwamba;
"Watu waliokuwa wamebeba bunduki aina ya machine gun(MG) wamemfuata Nyumbani kwake. Watu hao walikuwa wanaongea lugha ambayo haifahamu(Kiganda?)
Ila yeye haogopi Mitutu ya bunduki ya Mifumo ya unyonyaji na Uhalifu(Babylon), kwani huwa anapiga Magoti chini na kumuomba Mungu amuokoe, Amlinde na amsaidie" Mwisho wa kunukuu..
Hivi karibuni Tulia amejiondoa kugombea Uspika wa Tanzania.
Nini maoni yako?
Wimbo wenyewe unasema hivi;
Churus
Jah save us
Jah save us (3x)
Them ah come ah inna I and I ah ghotto Carrying a machine gun-man, ahhhh
Them ah bawl but the lingue I nuh overstand-man
I and I nuh fear The babylon gun-man
I'm just kneeling down and praying to Jah and say Jah
View: https://www.instagram.com/p/DQwT172iNxB/?igsh=eHBmczAweGk3dnM3
Hapa chini nimeweka wimbo wote. Ili kuelewa unakemea nini na una mahusiano gani na hali tuliyonayo.
Wimbo unaanza na maneno Kwamba angalia mazingira ulipo useme unaona nini.. Sikiliza maneno ya watu useme umesikia nini