FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Haha, sasa anaekijua ni nani? Huyo anaekijua walichopitisha ndio ajibu sasa...!Majibu ulishapewa kuwa wao wenyewe walipitisha kitu ambacho hata wao hawakijui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha, sasa anaekijua ni nani? Huyo anaekijua walichopitisha ndio ajibu sasa...!Majibu ulishapewa kuwa wao wenyewe walipitisha kitu ambacho hata wao hawakijui
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 12, Kikao cha 5, leo Septemba 4, 2023.
Ratiba:
- Dua
- Hati za kuwasilisha Bungeni
- Maswali
Serikali imesema ipo miongozo mbalimbali inayoongoza suala la kujitolea kwa watu wa kada mbalimbali ikiwemo walimu, lakini hakuna utaratibu maalum unaoongoza suala hili. Serikali imeanza mchakato wa kuandaa sheria itakayotoa mwelekeo wa suala hili na pindi ikiwa tayari italetwa Bungeni ili wabunge waweze kutoa maoni.
Haya yamefafanuliwa na Ridhiwani Kikwete, Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais, menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakati akijibu swali la Mbunge wa Kiteto, Edward Ole Lekaita aliyetaka kufahamu nia ya Serikali katika kuwezesha walimu wanaojitolea kupata upendeleo kwenye ajira za Serikali pindi zinapotangazwa.
Aidha, Ridhiwani amebainisha kuwa Serikali kwa sasa inahifadhi majina ya watu wote wanaoshiriki michakato ya ajira kwenye kanzi data zake na inaishi kwa mwaka 1. Pia, Spika wa Bunge, Tulia Ackson ameishauri Serikali itafute utaratibu wa mpito wa kuwatazama watu wanaojitolea kwenye kada Mbalimbali ili wapewe kipaumbele kwenye ajira.
Upuuzi mtupu, hapa tunahamisha tatizo tu Connection zitahamia kwenye kupata nafasi ya kujitolea, kama ilivyo sasa ajira bila connection haipatokaniSerikali imesema ipo miongozo mbalimbali inayoongoza suala la kujitolea kwa watu wa kada mbalimbali ikiwemo walimu, lakini hakuna utaratibu maalum unaoongoza suala hili. Serikali imeanza mchakato wa kuandaa sheria itakayotoa mwelekeo wa suala hili na pindi ikiwa tayari italetwa Bungeni ili wabunge waweze kutoa maoni.
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 12, Kikao cha 5, leo Septemba 4, 2023.
Ratiba:
- Dua
- Hati za kuwasilisha Bungeni
- Maswali
Serikali imesema ipo miongozo mbalimbali inayoongoza suala la kujitolea kwa watu wa kada mbalimbali ikiwemo walimu, lakini hakuna utaratibu maalum unaoongoza suala hili. Serikali imeanza mchakato wa kuandaa sheria itakayotoa mwelekeo wa suala hili na pindi ikiwa tayari italetwa Bungeni ili wabunge waweze kutoa maoni.
Haya yamefafanuliwa na Ridhiwani Kikwete, Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais, menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakati akijibu swali la Mbunge wa Kiteto, Edward Ole Lekaita aliyetaka kufahamu nia ya Serikali katika kuwezesha walimu wanaojitolea kupata upendeleo kwenye ajira za Serikali pindi zinapotangazwa.
Aidha, Ridhiwani amebainisha kuwa Serikali kwa sasa inahifadhi majina ya watu wote wanaoshiriki michakato ya ajira kwenye kanzi data zake na inaishi kwa mwaka 1. Pia, Spika wa Bunge, Tulia Ackson ameishauri Serikali itafute utaratibu wa mpito wa kuwatazama watu wanaojitolea kwenye kada Mbalimbali ili wapewe kipaumbele kwenye ajira.
Mkuu,uko sahihi.Pumbafu zenu mwanangu kajitolea hadi kakata tamaa kaondoka ndio mnaleta sheria. Tulishauri miaka mitano imepita serikali na mashirika yake waache unyonyaji wa nguvu kazi ya vijana kama wanavyofanya sekta binafsi kwa kisingizio eti nafasi za kazi hakuna. Mtu anatumika kwa ufanisi zaidi ya miaka mitatu badala ya kumuajiri anapewa mtu katoka chuo juzi. Sio haki.
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 12, Kikao cha 5, leo Septemba 4, 2023.
Ratiba:
- Dua
- Hati za kuwasilisha Bungeni
- Maswali
Serikali imesema ipo miongozo mbalimbali inayoongoza suala la kujitolea kwa watu wa kada mbalimbali ikiwemo walimu, lakini hakuna utaratibu maalum unaoongoza suala hili. Serikali imeanza mchakato wa kuandaa sheria itakayotoa mwelekeo wa suala hili na pindi ikiwa tayari italetwa Bungeni ili wabunge waweze kutoa maoni.
Haya yamefafanuliwa na Ridhiwani Kikwete, Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais, menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakati akijibu swali la Mbunge wa Kiteto, Edward Ole Lekaita aliyetaka kufahamu nia ya Serikali katika kuwezesha walimu wanaojitolea kupata upendeleo kwenye ajira za Serikali pindi zinapotangazwa.
Aidha, Ridhiwani amebainisha kuwa Serikali kwa sasa inahifadhi majina ya watu wote wanaoshiriki michakato ya ajira kwenye kanzi data zake na inaishi kwa mwaka 1. Pia, Spika wa Bunge, Tulia Ackson ameishauri Serikali itafute utaratibu wa mpito wa kuwatazama watu wanaojitolea kwenye kada Mbalimbali ili wapewe kipaumbele kwenye ajira.
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 12, Kikao cha 5, leo Septemba 4, 2023.
Ratiba:
- Dua
- Hati za kuwasilisha Bungeni
- Maswali
Serikali imesema ipo miongozo mbalimbali inayoongoza suala la kujitolea kwa watu wa kada mbalimbali ikiwemo walimu, lakini hakuna utaratibu maalum unaoongoza suala hili. Serikali imeanza mchakato wa kuandaa sheria itakayotoa mwelekeo wa suala hili na pindi ikiwa tayari italetwa Bungeni ili wabunge waweze kutoa maoni.
Haya yamefafanuliwa na Ridhiwani Kikwete, Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais, menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakati akijibu swali la Mbunge wa Kiteto, Edward Ole Lekaita aliyetaka kufahamu nia ya Serikali katika kuwezesha walimu wanaojitolea kupata upendeleo kwenye ajira za Serikali pindi zinapotangazwa.
Aidha, Ridhiwani amebainisha kuwa Serikali kwa sasa inahifadhi majina ya watu wote wanaoshiriki michakato ya ajira kwenye kanzi data zake na inaishi kwa mwaka 1. Pia, Spika wa Bunge, Tulia Ackson ameishauri Serikali itafute utaratibu wa mpito wa kuwatazama watu wanaojitolea kwenye kada Mbalimbali ili wapewe kipaumbele kwenye ajira.
Bungeni hakuna anayejua? kama Prof Mkumbo naye hajui na wakati ndiyo Waziri wa uwekezajiHaha, sasa anaekijua ni nani? Huyo anaekijua walichopitisha ndio ajibu sasa...!