The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Yaani Tulia aliyeharibu mhimili wa Bunge? Asee
Huyu Tulia Wacha akome...tena akome tena...kmmkeYaani Tulia aliyeharibu mhimili wa Bunge? Asee
Nimeshangaa pia, nilitegemea huyu ndo awe wa Ujenzi na uchukuzi.Kadogosa Vipi jamani. Mbona mlisema anaenda kukamata wizaraa...
πππ
Amfanye nn? Mkwere amemtoa kabisa kwenye rada, ili mwanae iwe rahisi kupenya, huoni na mwigulu kapewa bungo ahangaike nalo.Watapoteza walichonacho hawawezi hata kidogo.....ila makamba amemfanyia nini mama??Maana naona wanajaribu kupoteza jina lake kwenye system
Inaonekana bado tunao wajinga ambao hawakupata somo kwa lowasa 2015.Vyama vya Upinzani viachane na huu ujinga wa kushobokea Makapi kutoka CCM...
Ametemwaaa.Vipi mtoto wa poti Nape nnauye
Apandacho mtu ndicho avunacho. Kikubwa hapa maadui wa Bi Mkubwa wamezidi kuongezeka.Yaani Tulia aliyeharibu mhimili wa Bunge? Asee
Hilo ni baraza la mpito konki lenyewe litakuja. Baraza alilotaja leo haliwezi kuendesha nchi kwa miaka 5 uchumi ukabaki salama.Nimeshangaa pia, nilitegemea huyu ndo awe wa Ujenzi na uchukuzi.
πππππUkimwangalia Tulia kwa sasa ni kama ana sononeko