cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Hata mie naona la mpito, au kupima upepo.Hilo ni baraza la mpito konki lenyewe litakuja. Baraza alilotaja leo haliwezi kuendesha nchi kwa miaka 5 uchumi ukabaki salama.
Hata mie naona la mpito, au kupima upepo.Hilo ni baraza la mpito konki lenyewe litakuja. Baraza alilotaja leo haliwezi kuendesha nchi kwa miaka 5 uchumi ukabaki salama.
Sukuma genge yote imeondolewa.Kadogosa Vipi jamani. Mbona mlisema anaenda kukamata wizaraa...
🙆🙆🙆
Yeah!...ndio siasa hizoUkimwangalia Tulia kwa sasa ni kama ana sononeko
Hivi wanyakyusa wakoje? Tulia na PhD yake alikua ana act kama mcheza mdundiko wa Kimanzichana bungeni. Huyo haitoshi akaja yule aliyetangaza matokeo eti naye ni jaji. Ameidhalilisha kada ya ujaji Tanzania nzima kisa kapewa mfupa. MavimbegeYaani Tulia aliyeharibu mhimili wa Bunge? Asee
Haiti na hafai hata kuongoza kundi la inziAmfanye nn? Mkwere amemtoa kabisa kwenye rada, ili mwanae iwe rahisi kupenya, huoni na mwigulu kapewa bungo ahangaike nalo.
Ndo bye bye kwenye rada.
Huyo hana maana wala wa kumlilia. Shame tuHivi wanyakyusa wakoje? Tulia na PhD yake alikua ana act kama mcheza mdundiko wa Kimanzichana bungeni. Huyo haitoshi akaja yule aliyetangaza matokeo eti naye ni jaji. Ameidhalilisha kada ya ujaji Tanzania nzima kisa kapewa mfupa. Mavimbege
PoaHuu sio muda wa siasa za kuhama hama vyama, waende wakaandamane na gen z
Wacha tuonee.Haiti na hafai hata kuongoza kundi la inzi