Tulia kajiondoa Uspika kwa sababu wanataka wampe UWAZIRI MKUU kwenye hii Serikali yao

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Nchi Ina vituko hii !.Kuna hii Taarifa nimeipata muda mfupi hapa

Sasa angalieni the motive behind hili, kikao chao kimeona Et kwakua Tulia ni RAIS wa Bunge la Maspika wa Dunia.

Wakimpa Uwaziri Mkuu, itasaidia Kwao kuisafisha Nchi Kimataifa !!.

Sinamkumbuka BASHITE bado Yuko kwenye Orodha ya wasotakiwa Ulaya na Marekani ?.
 
Sana sana wanaweza kuhoji uhalali wa huo ubunge wake kupitia huu uchaguzi feki.
 
Nchi Ina vituko hii !.Kuna hii Taarifa nimeipata muda mfupi hapa

Sasa angalieni the motive behind hili, kikao chao kimeona Et kwakua Tulia ni RAIS wa Bunge la Maspika wa Dunia.

Wakimpa Uwaziri Mkuu, itasaidia Kwao kuisafisha Nchi Kimataifa !!.

Sinamkumbuka BASHITE bado Yuko kwenye Orodha ya wasotakiwa Ulaya na Marekani ?.
Ndiyo ni kweli watampoza na Uwaziri japo sina uhakika kama ni Uwaziri Mkuu lakini sababu ya Tulia kurusha taulo ulingoni ni kwamba BI. NYWINYWI ANAHITAJI SPIKA MWISLAMU, Tulia hakuna rangi hajaona wiki hii; alitendewa kama Kasimu alivotaka kurudi Bungeni.
 
Back
Top Bottom