kulikuwa na haja gani kumshambulia umbile lake ambalo hakuchagua kuumbwa hivyo?Kamekauka kama ukuni, haka kapigwe na radi tu ......kama roho mbaya kama mkaanga sumu ! Kalizima hoja ya dharura kuhs utekaji bungeni
Waswahili wa Pwani walisema malipo ni hapa hapa dunianiMaisha ya kuja na kuondoka yana tesa watu usiombe, mfano mwaka jana umepata cheo, gari, pesa, kiburi na majigambo alafu mwaka huu umekuwa wa kawaida.
Hapo lazima ujione umekuwa mkiwa na kutokubari kuwa umekataliwa.
Huyu Tulia kwa sasa msipo mfunga kamba na kuwa na elimu ambazo sijui elimu zake ila cheo cha uspika kitamfanya kama Ndungai .
Kwa sasa kwenye mitandao ya kijamii unaona kabisa wa kumfunga kamba.
Maisha ya kuja na kuondoka yana tesa watu usiombe, mfano mwaka jana umepata cheo, gari, pesa, kiburi na majigambo alafu mwaka huu umekuwa wa kawaida.