PostGE2025 Tulia kawa kama Ndugai, kuna siku mtashangaa kaita press

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Haka hakana faida kwa taifa kametumika km ndomu
huku MBEYA Tuna hasira nako sana
Tutakatembelea kukasalimia 9dec..
 
Haka hakana faida kwa taifa kametumika km ndomu
huku MBEYA Tuna hasira nako sana
Tutakatembelea kukasalimia 9dec..
Kale kasura kake na miwani unaweza jua parachichi la uyole limevaa miwani
 
Reactions: BRB
Tulia, siku mwanafamilia au ndugu yake atakapotekwa na na kupotea, ndipo atakumbuka kuwa alikuwa amebeba roho ya shetani siku ile ilipozuia hoja ya watu kutekwa kujadiliwa bungeni, na hakika hakuna atakayehuzunika naye.
 
Binafsi sijaelewa ujumbe aliokuwa anaumaanisha kwenye ile clip aliyoweka, ya binti anahangaika kuzoa jani na hatimaye kuamua kulifukia baada ya kushindikana kulizoa.
 
kulikuwa na haja gani kumshambulia umbile lake ambalo hakuchagua kuumbwa hivyo?
Ni mpuuuzi huyo....elewa hivo..angekuwa na moyo na huruma walau angenawiri kidogo ...kamekauka kama jua la saa 7
 
Siku zake zinahesabika! Subiri fukuto lizidi.. Anatamani kutqpika ila kichefuchefu kinamzuia😂
 
Kwani Tulia alifanya kosa gani? Isije ikawa nae alifanya kama Ummy Mwalimu ? Ummy yeye chawa wa Samia walimtape akiteta kuwa Samia ni mnywaji mzuri wa whisky na hiyo tape akapelekewa mwanamke katili. Muda ulipofika akamchinjia baharını!
Isije ikawa Tulia nae alifanya makasa hayo hayo ya kumteta Samia bila kujua huku chawa wake wakimrekodi!!!
 
Tingatinga likishatengeza barabara huwa halina mvuto tena kupita kwenye hiyo barabara.
 
Binafsi sijaelewa ujumbe aliokuwa anaumaanisha kwenye ile clip aliyoweka, ya binti anahangaika kuzoa jani na hatimaye kuamua kulifukia baada ya kushindikana kulizoa.
Kufunika tatizo ni ujinga. Maana kwa kifupi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…