Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Unataka mwanamke mwenye kipato tafuta mwanamke ambae tayari ana biashara au ajira.
Unataka mwanamke msomi, tafuta ambae tayari kashasomeshwa na wazazi wake mpaka level ambayo yeye anaitaka
Usiwe mjinga kumwezesha mwanamke kwa matumaini kwamba atakua mkeo pale atakapokua na status anayoitaka.
Malengo yake aliyopanga kuyafanikisha kupitia wewe yakishakamilika atakuacha bila kujali investments na sacrifices zako kwake.
Kwanza unajiandalia mazingira ya kuwa simp, maana hata ukiziona red flags hautaweza kufanya maamuzi magumu ukifikiri investments na sacrifices zako
Oa mwanamke ambae tayari ana vigezo unavyovitaka, epukana na mwanamke ambae utatakiwa kumtengeneza from scratch
Wewe sio baba ake, ilo sio jukumu lako.