Bidada anapambania UGALI wake, hili kwenye utafutaji wala halina tatizo.Mgombea wa Ubunge Jimbo la Uyole, Dkt. Tulia Ackson amesema Serikali ya Rais Samia Suluhu imefanya marekebisho yatakayowezesha uchaguzi wa mwaka huu kuwa huru na haki zaidi, sawa na maoni ya wananchi.
Duh,...imefanya marekebisho yatakayowezesha uchaguzi wa mwaka huu kuwa huru na haki zaidi, sawa na maoni ya wananchi.
Ambazo zilikidhi mahitaji ya wanamtandao nakubali zilishafanyika ila za kukidhi mahitaji ya wapiga kura,watanzania wakawaida bado kabisaaa!Hiyo ni kulingana na mawazo yangu lakini,mwingine aweza amini apenavyo.Mgombea wa Ubunge Jimbo la Uyole, Dkt. Tulia Ackson amesema Serikali ya Rais Samia Suluhu imefanya marekebisho yatakayowezesha uchaguzi wa mwaka huu kuwa huru na haki zaidi, sawa na maoni ya wananchi.
Soma Pia: GE2025 - Tulia achukua Fomu kugombea ubunge Uyole
EhhMgombea wa Ubunge Jimbo la Uyole, Dkt. Tulia Ackson amesema Serikali ya Rais Samia Suluhu imefanya marekebisho yatakayowezesha uchaguzi wa mwaka huu kuwa huru na haki zaidi, sawa na maoni ya wananchi.
Soma Pia: GE2025 - Tulia achukua Fomu kugombea ubunge Uyole
Wanahangaika na kutapatapa wenyeweKwani nani kawauliza. Wao wafanye kampeni tu
...her f.king mouth..Which reforms betina is talking about? She should shut her mouth.
Hayo unayajua wewe. Sisi ndio wenye Mamlaka tunajua reforms hazijafanyika na tunaagiza zifanyike. Siyo ombi!Mgombea wa Ubunge Jimbo la Uyole, Dkt. Tulia Ackson amesema Serikali ya Rais Samia Suluhu imefanya marekebisho yatakayowezesha uchaguzi wa mwaka huu kuwa huru na haki zaidi, sawa na maoni ya wananchi.
Soma Pia: GE2025 - Tulia achukua Fomu kugombea ubunge Uyole