GE2025 Tulia: Reforms zilishaafanyika Bungeni kuwezesha uchaguzi kuwa Huru na Haki

GE2025 Tulia: Reforms zilishaafanyika Bungeni kuwezesha uchaguzi kuwa Huru na Haki

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Amesoma mood ya jamii, kaona kuna kundi kubwa haliridhiki na uchaguzi huu, hivyo anajikosha. Kwa bahati mbaya anadhani bado watu ni wajinga wa hivyo. Katika hili la kugoma kushiriki uchaguzi wa kihuni, cdm wamecheza heko sana.
 
Angevaa kisuruali na tisheti alafu acheze muziki akiwa anazungusha mikono iliyokunjwa ngumi...ndizo anazoweza sio mambo muhimu
 
Daah huenda ni udhaifu wangu wa Kibinadamu. Lakini sijui ni kwa nini namchukia sana Tulia Ackson. Naona vile ana ubinafsi zaidi wa kiitikadi kuliko Utaifa.
Haven't any journalists in Tanzania been interested in how her Tulia Trust operates? Who provides the funds? Who funds her construction and festivals?
The Tulia Trust isn't even registered anywhere. Does that mean it doesn't legally exist?
 
Hayo unayajua wewe. Sisi ndio wenye Mamlaka tunajua reforms hazijafanyika na tunaagiza zifanyike. Siyo ombi!
Je, kuna mtu yeyote aliyeona taarifa za fedha za Tulia Trust? Nani anawapa pesa za kununua zawadi kwa wapiga kura?
 
Watu wa Mbeya nitashangaa kama Makazi ya huyu njiti yataachwa bila kuchomwa
 
Huyu wanamtafuta kufa na kupona mbeya nahisi hata kakimbia mabomu yameishia police mbeya wanatumia risasi tu na risasi zikiisha basi mbeya wanaichukua
 
Cosmetic Reforms Tume kuitwa huru wakati sio tume HURU.
 
Mbona wanahabari Tanzania hawachunguzi kazi za Tulia? Je, kweli hana lawama? Hakuna shitaka moja lenye ushahidi halisi wa kufanya makosa!
 
Back
Top Bottom